Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Yeah hata mie nafanya hivyo, yaani ni bora nipike masaa manne ila mwisho wa siku najua nikitoka hapo sina vyombo vichafu.

Maana mie vyombo naoshaga muda mrefu
Hii kitu inasaidia sana unakuwa umemaliza kupika na kuosha vyombo kwa pamoja
 
Ndo hivyo huwa nafanya, kuna dada jirani yangu huwa ananishangaa naishi mwenyewe ila nikiosha vyombo kama tumekula watu 6[emoji134][emoji134][emoji134]
Khaa mi kwanza nilikopanga sina vyombo vingi, maana kununua vyombo vingi nako kunachangia mtu kuwa mtumiaji mbaya.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli, JF bado hapajatokea uzi wenye persistent speed kama ule. Uzi unakimbia kama umefungiwa turbo engines
Ule uzi Ukitaka uwezane nao usitake kufuatilia kila kitu walichokomenti ukiwa haupo, mimi huwa nikifika nasoma post chache nilipoishia, nascroll mpaka mwisho nasoma post kama 20/30 za mwishoni then naendelea
 
Ule uzi huwa naupenda as mnajikuta mnachat as family kama ilivyokuwa kwa selfika. Shida ni speed yake. Huwa nikiwaza hilo hata siufungui. Maana nitapitwa na vingi.
Umeona eenh, hata mie naupenda kuna company sana ila ukitoka tu kidogo ukarudi unakuta comments 800 mbele hapo hata kama app ingekuwa inakuletea notifications bado kuna zingine hautaziona tu.

Huwa nakataa tamaa hapo tu kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmenichekesha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wallah sasa ukute na wewe umeporomosha zile tafiti zako, ndiyo huwa nachoka mapafu pamoja na figo.

Ila kuna nyingine nasomaga huwa nacheka kama mwehu, mfano zile za kujamba aise hadi niliziscreenshoot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile tafiti konki

Pale ukipazoea tabu haionekani maana utaenda na spidi hio hio uliyoikuta ila tu uwe unapata notifications
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wallah sasa ukute na wewe umeporomosha zile tafiti zako, ndiyo huwa nachoka mapafu pamoja na figo.

Ila kuna nyingine nasomaga huwa nacheka kama mwehu, mfano zile za kujamba aise hadi niliziscreenshoot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ule uzi Ukitaka uwezane nao usitake kufuatilia kila kitu walichokomenti ukiwa haupo, mimi huwa nikifika nasoma post chache nilipoishia, nascroll mpaka mwisho nasoma post kama 20/30 za mwishoni then naendelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo mimi ninachofanya siku hizi, ila huwa nahofia kuna watu wanaweza kuwa wameniquote na ukizingatia notifications sipati.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekumbuka kuna siku ulipotea then ulivyorudi ukasema "naanzia nilipoishia" nilicheka, wakati kuna watu tulikuwa tumekuquote kule juu.
 
Back
Top Bottom