Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

[emoji38][emoji38][emoji38]Wenzenu wanaponza Sasa
Me Nikipenda Napenda haswa(sijisifu[emoji23])
Kun Mmoja hivi alinibadirikia eti Amekua mtu wa Misimamo Anasoma soma mavitabu haya ya Inspiration vimemharibu kama hakun la maana nisipige simu na blaah blaah kama hzo
.
Kabla ya huyo Kuna demu aliniwekwa mchepuko[emoji35][emoji35] jamaa yake alikut text zang akaleta Noma tukakutana yakaisha
Nikagundua niliwekwa mchepuko dadeq
.
Hakuna nyimbo naipenda Kama Naenjoy ya Aslay [emoji38][emoji38][emoji38]
Dah! Pole Sana, Na Huo Mkilimo Kwanza Hapo Juu, Bado Unaachika tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo mimi ninachofanya siku hizi, ila huwa nahofia kuna watu wanaweza kuwa wameniquote na ukizingatia notifications sipati.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekumbuka kuna siku ulipotea then ulivyorudi ukasema "naanzia nilipoishia" nilicheka, wakati kuna watu tulikuwa tumekuquote kule juu.
Wakayi mwingine si lazima(maana huwezi)kujibu quotes zote.
Unaanzia ulipopakuta.
Kama kuna convo inakuvutia hapo ndo panakuwa na shida
 
Mimi kusema ukweli browser miaka buku ndiyo nimeshashindwa kutumia sijui kwanini, nikiingia kule sikai hata dakika mbili pananiboa nalog out.

JF browser naiona ngumu kama formula ya kutengeneza bomu la nuclear, japo watu kama kina Depal wanakuambia eti app ndiyo ngumu kuliko browser.
Mimi browser huwa naingia kucheki notification tu au kama nataka kufunga/ kufungua PM
 
Mimi kusema ukweli browser miaka buku ndiyo nimeshashindwa kutumia sijui kwanini, nikiingia kule sikai hata dakika mbili pananiboa nalog out.

JF browser naiona ngumu kama formula ya kutengeneza bomu la nuclear, japo watu kama kina Depal wanakuambia eti app ndiyo ngumu kuliko browser.
😂😂😂
Sio wanakuambia...dogo app ngumu kama logarithms. Kwanza ukilog in tu pale hapaeleweki.....kuna siku nilitafuta forums list sioni, uwanja wa new post uko "shabalabagala".
Davet D njooo ujazie nyama 😂😂😂
 
Back
Top Bottom