MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Dah! Pole Sana, Na Huo Mkilimo Kwanza Hapo Juu, Bado Unaachika tu?[emoji38][emoji38][emoji38]Wenzenu wanaponza Sasa
Me Nikipenda Napenda haswa(sijisifu[emoji23])
Kun Mmoja hivi alinibadirikia eti Amekua mtu wa Misimamo Anasoma soma mavitabu haya ya Inspiration vimemharibu kama hakun la maana nisipige simu na blaah blaah kama hzo
.
Kabla ya huyo Kuna demu aliniwekwa mchepuko[emoji35][emoji35] jamaa yake alikut text zang akaleta Noma tukakutana yakaisha
Nikagundua niliwekwa mchepuko dadeq
.
Hakuna nyimbo naipenda Kama Naenjoy ya Aslay [emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app