Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Githeri? Elimu kidogo (ndio kwanza nakusikia
Mangararimo pia
Mimi hilo mangararimo ndiyo jipya ila githeri nishawahi lisikia, wanalitumia sana wakenya sie wabongo tumezoea neno "makande" hilo hatulitumii sana.

Si wajua vile wakenya wana sheng mob za kiswahili
 
Taratibu tutaelewana tu..chuma kipo mda tu
20200412_210957.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nikikutag mie sio? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna tag / qoute zingine ukiiona Hata nguvu za kuiLike zinakata....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo mfano wewe
Yeah nilimaanisha zile comments zenye positivity siyo mtu kakutag au kakuquote kwenye maujinga huyo namuacha najifanya kama sijaona halafu nasingizia notifications.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Githeri ni jina la kikenya(sijui ni kikikuyu) ikimaanisha kande la mahindi mabichi. Sasa ukute limepikwa vizuri ni taamuuu. Mangararimo haya ni ya uchagani huko tamuu nayo(sijui inapikwaje napenda tu kula[emoji85][emoji85]
Oh kande la mahindi mabichi hapana.... Kuna siku mchaga alinipikia ndizi ilinishinda 😂😂😂
Mangararimo hayo nitagoogle
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe unavyoiona app ndivyo mimi ninavyoiona browser, yaani kwanza kulivyo kaa na giza giza vile sijui napaonaje aisee.

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] na vyenye sipendi kusoma comments katika pages ndiyo kabisa
Jamani jamani....inawezekana lakini kila mtu na taste yake.
App naendaga kumfukunyua mtu/ ID maana kwa browser haiwezekani
 
Mie napenda sana mahindi ila yakiwa inform of kande hapana kwa kweli
Kande la mahindi makavu yale yamekobolewa? We yale matamu. Ya kuchoma nilikula sana mwaka Jana mpaka nimekinai now Hata nikiyaona mate hayachezi.
Kwaresma ya mwaka jana yote kila nikienda church wakati wa kutoka yananikoma, kuna mazaa alikuwa opposite na IAA aliniteka vibaya 😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi tegeta kwa nyuki napo utapaita uswahilini ?? Hebu njoo buza huku tukuoneshe namna waswahili tunavyoishi mjini !!
😂😂😂😂 nitakuja tena , ujue me nilisoma Buza secondary? So napaelewa
 
Hahaaa, siyo kwamba browser ndiyo walianza nayo wakina Ngabu na Kiranga enzi za Jambo Forums? App si imekuja hapa kati kati tu
Hahah! Baada ya kuonekana wazee wanapata tabu na Browser ndio wakaamua waje na app kama mkombozi wao
 
Mimi hilo mangararimo ndiyo jipya ila githeri nishawahi lisikia, wanalitumia sana wakenya sie wabongo tumezoea neno "makande" hilo hatulitumii sana.

Si wajua vile wakenya wana sheng mob za kiswahili
Kumbe!! Dah ila ulivyomalizia 😂😂😂
 
Back
Top Bottom