Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
IMG-20200412-WA0003.jpeg
 
Kande la mahindi makavu yale yamekobolewa? We yale matamu. Ya kuchoma nilikula sana mwaka Jana mpaka nimekinai now Hata nikiyaona mate hayachezi.
Kwaresma ya mwaka jana yote kila nikienda church wakati wa kutoka yananikoma, kuna mazaa alikuwa opposite na IAA aliniteka vibaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhh mimi makande sijui hata yapikweje tu yaani, ila mahindi ya kuchoma ndiyo sijawahi yakinahi na sijui kama nitayakinahi kirahisi.
 
Back
Top Bottom