Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ndo hivyo huwa nafanya, kuna dada jirani yangu huwa ananishangaa naishi mwenyewe ila nikiosha vyombo kama tumekula watu 6[emoji134][emoji134][emoji134]Ujanja ni ukichafua unaosha ukimaliza kupika unabaki na vyombo vichache.