Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Nikipika mwosha vyombo lazima ufurahi, vyombo beseni2[emoji85][emoji85]
Khaa yaani wewe hauna tofauti na mama yangu, kiasi kwamba siku akisema anaingia jikoni kutupikia tunamuambia hapana mama acha tu tutapika wenyewe maana tunajua shughuli yake baada ya hapo.

Shida nini hadi mnatumia vyombo hivyo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie hata huwa sielewi, najikuta tu vyombo vimejaa jikoni.
 
Tumemaliza
20200412_190351.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
Yeah Upo Aisee sihitaji wafadhili (mkongo + mmasai[emoji1787][emoji1787] )Vipi huko mtaji upo wa kutosha ? (churaaa [emoji1787][emoji1787])
Mkongo+mmasai[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Mie sina mtaji ndugu yangu.
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hahahaha we siyo mtu wa kwanza kusikia unalalamikia kazi ya kuosha vyombo, kwa kweli sijawahi kusikia mtu ananiambia anapenda kuosha vyombo.

Hilo huwa linanifanya hata mimi nipike kwa umakini sana maana vikijazana tu naishiwa nguvu ghafla, ndiyo maana huwa sipendi kupika mboga nyingi.
Sidhani kama naenjoy kuosha vyombo; ila majority wanasema napenda kuosha vyombo. Ila ole wako sasa ujaze masufuria
Nikipika mwosha vyombo lazima ufurahi, vyombo beseni2[emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kusema kwamba ulitegemea tuwe kwenye happy ending ?? [emoji16][emoji16] muda bado ngoja tule kwanza
Kwahiyo ndio mwala? [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom