[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zipi hizo tenaAcha hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] nimemaliziaje kwani ??Kumbe!! Dah ila ulivyomalizia [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 jifunze kutumia Browser maana kutumia App ni kuwanjonya wazee wa kudai kiinua mgongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmhh, kamba hii.
Yes exactlyHahaha kwa kweli kuna vitu navifanya perfectly kwa sababu tu ni wajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajeuri wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jifunze kutumia Browser maana kutumia App ni kuwanjonya wazee wa kudai kiinua mgongo
Oohh, uwe unasalimia hata kidogo dada ili tusiwe na shaka kuwa inawezekana ukawa umerudisha jezi. [emoji16][emoji16]Hahahahah ndo unanijungua eeh. Me nipo humu daily, though mara nyingi napita kimya kimyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akhu, browser bakini nayo wenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jifunze kutumia Browser maana kutumia App ni kuwanjonya wazee wa kudai kiinua mgongo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kaka
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kaka
Augustino kafungwa miaka 5 Sasa
.
Niko na wanyabi
Kakaaa jooohs njoo uchukue ngada zako huku
Hivi Mgeni kaja kweli huko?
Nasema kweli [emoji16][emoji16] chakula chochote nikipika mwenyewe siinjoi...kasoro pilau
Oohh, uwe unasalimia hata kidogo dada ili tusiwe na shaka kuwa inawezekana ukawa umerudisha jezi. [emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] we njoo
[emoji38][emoji38][emoji38] Linakufa jitu LeoYupoo...tumetulia hapa tunachek picha la kihindi azam 2, kaomba poo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mmhh hapana kwa kweli sijawahi sikia umemsifia Diamond
Haswa ukiwa celebrities huwa una maudhiii.
Hako katoto ni katukutu sijapata ona
Mkuu umekamatiwa vizuri Kweli nasitisha rasmi kukupa maelekezo... Wacha niendelee kula vyombo
Leo ni ngumu kutoka mkuu...location inasoma wapi??
Kesho ndio naweza kwenda pale malamba kula kanga wa kuchoma
Sent using Jamii Forums mobile app