Kumbe ni hapo jirani jamani[emoji134]
Happy ending ndio mpango mzima.
Kumbe ni jirani yangu kabisaa, ahsante sikukuu njema
Mi mwenyewe nimealikwa.Wako poa..Hatualikani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe nikuandalie kinywaji gani?? Pepsi au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni jirani yangu kabisaa, ahsante sikukuu njema
Na hapa nilipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mirinda nyeusi kama Sakayo
Basi nialike hata sikukuu ya MuungangoMi mwenyewe nimealikwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi nialike hata sikukuu ya Muungango
[emoji38][emoji38][emoji38]Wenzenu wanaponza SasaMsitufanyie hivyo jamani.
Kumbuka kuna mapadri, mashoga,impotent jalafu muongezeke na nyie wa kugive up itakuwaje sasa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Wenzenu wanaponza Sasa
Me Nikipenda Napenda haswa(sijisifu[emoji23])
Kun Mmoja hivi alinibadirikia eti Amekua mtu wa Misimamo Anasoma soma mavitabu haya ya Inspiration vimemharibu kama hakun la maana nisipige simu na blaah blaah kama hzo
.
Kabla ya huyo Kuna demu aliniwekwa mchepuko[emoji35][emoji35] jamaa yake alikut text zang akaleta Noma tukakutana yakaisha
Nikagundua niliwekwa mchepuko dadeq
.
Hakuna nyimbo naipenda Kama Naenjoy ya Aslay [emoji38][emoji38][emoji38]
Tukumbushane historia yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka tuunganishe nini?