Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Ndio mkuu ila mtoto alisema anataka kuku wakukausha kama wa kfc..ndio maana inabidi awepo.
Mkuu mi naona hapo unashindanisha kuku na kitimoto....najua tu mwisho wa game lazima kuku atolewe knockout na kitimoto
Poku siyo ya mchezomchezo...na kama huyo demu ni hajati atakoma mwenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom