Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Pole mkuu..We kama mimi..Sa itakuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu..We kama mimi..Sa itakuaje?
[emoji24]Nafasi ishachukuliwa
siti kakalia mwingine.
Nunua mziki Sony Home Theatre au Sound Bar ya Watts 1000 achana na subwoofer za mchina
Mualikane , alafu hii ndo tafasiri sahihi ya maisha...Pole mkuu..We kama mimi..Sa itakuaje?
Muda bado, mnaweza Fanya maandilizi chapu chapu, Ili usiku ukawa mzuri.
Hahahaaaa leo kwa mama Kamche..[emoji24] View attachment 1417207
Huli sana hicho kitambi kimetoka wapi?Sijapata aisee,I was waiting for your invitation, ila nikaona kimyaa imebidi niendelee kupiga usingizi tu hapa,jf nialikeni basi huwa sili sana
Hiyo kitimoto naitamanii.
Happy Easter mkuu, enjoy.
Mweeeeeh[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Tukumbushane historia yetu
Hujaacha tu?Pole mkuu..We kama mimi..Sa itakuaje?
Mpishi kapotea ghafla, mgeni itakuwa kishafika.Update??
Ila braza Hazard CFC una mbwembwe nafkir kuna wanadada watafwata mwaliko
[emoji1787][emoji1787]Sio kwa moto huu Dhahabu hiy kwa Nani Kwanzaa dada ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili dhahabu iwe dhahabu inapaswa ipitie kwenye moto kwanza.
Faza si uoe tuu mwanamke shida yote ya nini
121.
Kwa anaestahili.[emoji1787][emoji1787]Sio kwa moto huu Dhahabu hiy kwa Nani Kwanzaa dada ?
Mwanangu safi sana, Apo unakula chakula safi .
Baadae unaingia mapajani safiiii ,tena hapo ukute Demu ana Mapaja, alafu awe mweusi-like kwa hali ya hewa hiii .
Unapiga mashine mpaka mishipa ya mashine inauma
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ww jamaa muuwaji
121.