Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Natarajia ugeni mzito sikukuu hii kutoka jf (manzi)

Sijayatumia...ulishakula kuku wa kfc??

Hayo unachanganya na maziwa kidogo, then unamweka kuku,halafu kuku unamweka kwenye unga baada ya hapo kwa mafuta. Unakua umetengeneza layer ya nje yenye mchanganyiko wa mayai na unga
Natamani kujua hayo mayai ni kiungo kwenye huyo kuku ama kitimoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom