Natatuaje hili tatizo la kuverify cheti cha CSE ajira portal

Natatuaje hili tatizo la kuverify cheti cha CSE ajira portal

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,385
Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa..

Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama utakumbana na mkasa huu.. angalia pichani.

Screenshot_20260713-190244.jpg
Screenshot_20260713-190427.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20260713-190331.jpg
    Screenshot_20260713-190331.jpg
    69 KB · Views: 11
Back
Top Bottom