Natatuaje tatizo hili kwenye simu yangu?

Natatuaje tatizo hili kwenye simu yangu?

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye

Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua Kama dakika 10-15 yaani mda huo inakua inaonyesha neno Infinix baada ya muda ndo inawaka

Nawezaje kutatua tatizo hili?
 
Fanya Factory reset inaonekana ipo infectect na virus- kama tatizo litakuwa bado lipo itakuwa ni Tatizo la hardware
 
Back
Top Bottom