Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

Tumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
 
Alikua amechoka sana nadhani pale palikua pazito kwake
upigaji ulishaanza ujenzi. yaani chamriho alishachoka hata kabla ya kuteuliwa.
sasa Prof Mbarawa asilale.
Ujenzi upigaji ulishaaanza kwa sababu chamriho alikuwa mzigo
 
Upigaji gani?
 
Hana huo uwezo trust me

Uzuri wake ni mtu alielimika na kupokea ushauri

Huyu kwa hoja mi namtwanga asubuhi tu (mtu mwenyewe bado anawazo ya Simba).

Wengine amtusomi hila 90% ya hatua zake za mifuko ya plastic kaokota kwangu.

But then 100% ya kuamua mifuko ni hapana. Ndipo nilipompendea ana msimamo.

Hila January ukinipa nantwanga kwa hoja dakika moja so is Magu.

Wanachofanana na Magufuli A means A upende usipende.

Hapo ndio inabidi umkubali huyu fala; he is not clever Ila ana msimamo.

Vinginevyo kwa hoja tu ata mimi January namtwanga anytime.
 
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikua imelala kabisa.

Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.

Karibu Makamba.
Nzee ya Nsoga hoyeeeeeeeeee
 
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikua imelala kabisa.

Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.

Karibu Makamba.
Magufuli alivuruga kila kitu.
 
Huu ni muda wa kutafuta pesa kwa ajili ya kampeni 2025 za Urais
 
Tumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Sio madini,,, NI Nishati
 
Tumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Mkuu umechanganya, siyo sekta ya madini Ni nishati, Kule madini Kuna bw. Dotto Biteko na hapajaguswa na mabadiliko haya.
 
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.

Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.

Karibu Makamba.
Yeye apige kazi tu, mtenda chema, chema kitaonekana na kusifiwa..
 
Back
Top Bottom