Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.

Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.

Karibu Makamba.
Huko tulishapigwa bora twende na Hydropower bwawa na Mwalimu Nyerere linaweza kuzalisha Mg21000 likikamilika Gas ya Mkwere ya nn tena
 
Back
Top Bottom