Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

Nategemea January Makamba ataweza kuifufua sekta ya mafuta na gesi

Tumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Madini tena? Dogo vipi?
 
Naandika kwa herufi kubwa

CCM NI ILE ILE WANA MIAKA ZAIDI YA 25 KWENYE UTAWALA ILA BADO TAIFA LINAPAMBANA NA MATUNDU YA CHOO.
 
Hana jipya huyo!!
Alafu hivi kwa nini wateuliwa ni walewale? Hatuna watu wengine??
 
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.

Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.

Karibu Makamba.
Secta ya mafuta na gesi ndiyo adui mkubwa maana mikataba ya kifisadi iliyo sainiwa na mafisadi wakati wa fisadi kikwete na team yake wakishirikiana na mabeberu wana percent hii ndiyo sababu bwawa la umeme lilipigwa vita kipindi linajengwa na magufuli akina January makamba waliupiga vita huu mradi kwa sababu ya maslai binasfi ya kifisadi waliyo weka kwenye mikataba ya gesi na mafuta
 
Tumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Yani kama unaamini Makamba anahusika na sekta ya Madini basi hujui ata unachokiongea
 
upigaji ulishaanza ujenzi. yaani chamriho alishachoka hata kabla ya kuteuliwa.
sasa Prof Mbarawa asilale.
Ujenzi upigaji ulishaaanza kwa sababu chamriho alikuwa mzigo
Chamuriho hajawah kuchoka
Screenshot_20210913-094938_Chrome.jpg
 
Pongezi kwa wateule wote,
mara baada ya kiapo wanapaswa wachape kazi kwa speed na weledi.
Watanzania wengi tunapenda kuona Watendaji wanafuatilia miradi ya serikali kwa karibu.
hatupendi kuona viongozi wanakaa ofisini tu.
Mfano, Prof: Mbarawa ni mfuatiliaji mzuri ila sio mkali hivyo ili afanikiwe ni lazima awe mkali pale inapo bidi.
Makamba ni mfuatiliaji mzuri ila apunguze ushikaji kazini apige kazi, nishati ni nguzo ya uchumi wa Taifa.
Kijaji ni mpambanaji mzuri sana pia ni mkali hapendi masihara awapo kazini.
Mama Tax ni mweledi tunategemea maboresho mazuri zaidi.
 
Ntu za dili zina rudi kwa speed ya 5G !

Returns of Ze Wapiga Dili !
 
Hana huo uwezo trust me

Uzuri wake ni mtu alielimika na kupokea ushauri

Huyu kwa hoja mi namtwanga asubuhi tu (mtu mwenyewe bado anawazo ya Simba).

Wengine amtusomi hila 90% ya hatua zake za mifuko ya plastic kaokota kwangu.

But then 100% ya kuamua mifuko ni hapana. Ndipo nilipompendea ana msimamo.

Hila January ukinipa nantwanga kwa hoja dakika moja so is Magu.

Wanachofanana na Magufuli A means A upende usipende.

Hapo ndio inabidi umkubali huyu fala; he is not clever Ila ana msimamo.

Vinginevyo kwa hoja tu ata mimi January namtwanga anytime.
Wewe una wivu,tu huna jipya ccm mnaoneana wivu Nyie KWa Nyie why
 
Wewe una wivu,tu huna jipya ccm mnaoneana wivu Nyie KWa Nyie why
January alikuwa mwenyekiti kamati ya nishati kule bungeni kipindi kile mikataba ya gesi inapita usiku. Hakuona tatizo, Leo useme Kuna watu wanamuonea wivu?
January ni ntu ya dili, shida ni ana vijana wake wengi mtandaoni wa kumpaka mafuta
 
Ok ,WENDA anavijana wake wakumpaka Mafuta,binafsi Kama 47 mbatizaji KAZI yangu huwa sio majungu, CCM WOTE Ndo hivyo tena hakuna msafi ila angalau KIDOGO huyo, nani sio mwizi CCM
January alikuwa mwenyekiti kamati ya nishati kule bungeni kipindi kile mikataba ya gesi inapita usiku. Hakuona tatizo, Leo useme Kuna watu wanamuonea wivu?
January ni ntu ya dili, shida ni ana vijana wake wengi mtandaoni wa kumpaka mafuta
 
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.

Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.

Karibu Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
 
Bwana Peno mzee wakutoa reference 🙌🙌🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom