Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wawekezaji wanavutiwa na sera zinazotabirika kwa muda mrefu na mfumo huru wa mahakama sio sura ya mtu.Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikua imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu Makamba.
Alikua amechoka sana nadhani pale palikua pazito kwakeBora mzee Chamuriho ametolewa ujenzi maana alikuwa mzigo mzito,
sasa Prof Mbarawa fuatilia ujenzi wa barabara,
upigaji ulishaanza ujenzi. yaani chamriho alishachoka hata kabla ya kuteuliwa.Alikua amechoka sana nadhani pale palikua pazito kwake
Upigaji gani?upigaji ulishaanza ujenzi. yaani chamriho alishachoka hata kabla ya kuteuliwa.
sasa Prof Mbarawa asilale.
Ujenzi upigaji ulishaaanza kwa sababu chamriho alikuwa mzigo
Nzee ya Nsoga hoyeeeeeeeeeeMimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikua imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu Makamba.
Magufuli alivuruga kila kitu.Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikua imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu Makamba.
Sio madini,,, NI NishatiTumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Sana aisee ,,,mambo mengi yaliharibikaMagufuli alivuruga kila kitu.
So sad!Huu ni muda wa kutafuta pesa kwa ajili ya kampeni 2025 za Urais
Prof Mbarawa namkubali sana kwenye hii wizara...Bora mzee Chamuriho ametolewa ujenzi maana alikuwa mzigo mzito,
sasa Prof Mbarawa fuatilia ujenzi wa barabara,
Mkuu umechanganya, siyo sekta ya madini Ni nishati, Kule madini Kuna bw. Dotto Biteko na hapajaguswa na mabadiliko haya.Tumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Yeye apige kazi tu, mtenda chema, chema kitaonekana na kusifiwa..Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu Makamba.