Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Madini tena? Dogo vipi?Tumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Secta ya mafuta na gesi ndiyo adui mkubwa maana mikataba ya kifisadi iliyo sainiwa na mafisadi wakati wa fisadi kikwete na team yake wakishirikiana na mabeberu wana percent hii ndiyo sababu bwawa la umeme lilipigwa vita kipindi linajengwa na magufuli akina January makamba waliupiga vita huu mradi kwa sababu ya maslai binasfi ya kifisadi waliyo weka kwenye mikataba ya gesi na mafutaMimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu Makamba.
Jamaa kapindua mezaAsante Kikwete, mipango na mipangilio yako inarudi mahali pake kwa kasi
Yani kama unaamini Makamba anahusika na sekta ya Madini basi hujui ata unachokiongeaTumpe muda JYM ili aonyeshe ubunifu wake katika sekta ya madini. Naamini ataweza kufanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha kwa ni mtu mwenye kupenda mabadiliko na kusikiliza ushauri anaopewa na wataalamu.
Chamuliho sio pazito kwake, Chamuliho kabla yakuwa Waziri hapo alikuwa Katibu mkuu wizara hiyohiyoAlikua amechoka sana nadhani pale palikua pazito kwake
Mafisadi mlipata tabu sana msgufuli alivuluga kila kitu chenu ila mimi naona bado jinamizi la magufuli nina watafuta kwa nguvu sanaSana aisee ,,,mambo mengi yaliharibika
Chamuriho hajawah kuchokaupigaji ulishaanza ujenzi. yaani chamriho alishachoka hata kabla ya kuteuliwa.
sasa Prof Mbarawa asilale.
Ujenzi upigaji ulishaaanza kwa sababu chamriho alikuwa mzigo
KibabeJamaa kapindua meza
Wewe una wivu,tu huna jipya ccm mnaoneana wivu Nyie KWa Nyie whyHana huo uwezo trust me
Uzuri wake ni mtu alielimika na kupokea ushauri
Huyu kwa hoja mi namtwanga asubuhi tu (mtu mwenyewe bado anawazo ya Simba).
Wengine amtusomi hila 90% ya hatua zake za mifuko ya plastic kaokota kwangu.
But then 100% ya kuamua mifuko ni hapana. Ndipo nilipompendea ana msimamo.
Hila January ukinipa nantwanga kwa hoja dakika moja so is Magu.
Wanachofanana na Magufuli A means A upende usipende.
Hapo ndio inabidi umkubali huyu fala; he is not clever Ila ana msimamo.
Vinginevyo kwa hoja tu ata mimi January namtwanga anytime.
January alikuwa mwenyekiti kamati ya nishati kule bungeni kipindi kile mikataba ya gesi inapita usiku. Hakuona tatizo, Leo useme Kuna watu wanamuonea wivu?Wewe una wivu,tu huna jipya ccm mnaoneana wivu Nyie KWa Nyie why
Ngoja tufukue maakaburi, maana watu ni wasahaulifu sanaWewe una wivu,tu huna jipya ccm mnaoneana wivu Nyie KWa Nyie why
January alikuwa mwenyekiti kamati ya nishati kule bungeni kipindi kile mikataba ya gesi inapita usiku. Hakuona tatizo, Leo useme Kuna watu wanamuonea wivu?
January ni ntu ya dili, shida ni ana vijana wake wengi mtandaoni wa kumpaka mafuta
Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa.
Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii.
Karibu Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Bwana Peno mzee wakutoa reference ππππππππππππRais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua. Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia...www.jamiiforums.com
Bwana Peno mzee wakutoa reference ππππππππππππ