Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 10, 2021 #41 Sidhani kama huko atapagusa...
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,517 Reaction score 9,762 Oct 10, 2021 #42 Meneja Wa Makampuni said: Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa. Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii. Karibu Makamba. Click to expand... Huko tulishapigwa bora twende na Hydropower bwawa na Mwalimu Nyerere linaweza kuzalisha Mg21000 likikamilika Gas ya Mkwere ya nn tena
Meneja Wa Makampuni said: Mimi kwa mtazamo wangu niliona kama sekta ya mafuta na gesi Tanzania ilikuwa imelala kabisa. Hivyo matarajio yangu makubwa ni kwamba ujio wa Makamba pengine unaweza kuifufua sekta hii. Karibu Makamba. Click to expand... Huko tulishapigwa bora twende na Hydropower bwawa na Mwalimu Nyerere linaweza kuzalisha Mg21000 likikamilika Gas ya Mkwere ya nn tena
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,517 Reaction score 9,762 Oct 10, 2021 #43 Mpinzire said: Chamuliho sio pazito kwake, Chamuliho kabla yakuwa Waziri hapo alikuwa Katibu mkuu wizara hiyohiyo Click to expand... Hiyo hajui anachosema subiri kuna muda tutamkumbuka Leonard
Mpinzire said: Chamuliho sio pazito kwake, Chamuliho kabla yakuwa Waziri hapo alikuwa Katibu mkuu wizara hiyohiyo Click to expand... Hiyo hajui anachosema subiri kuna muda tutamkumbuka Leonard