begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
XLR HONDA CC 250 AU HONDA BAJA CC250 ndo nzuri kwa ruti ndefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unam bipu malaika Israel atakupigia acha ujinga tafuta hera ununue hata passo namba D uwe unakapigisha safari
Ok sawa mkuu tupe mrejesho safari Yako ulienda ? Itapendezandugu yangu nitakuja tu kukusalimia...nimeendesha pikipiki mwaka wa 10 huu kwenye jiji lililopo busy la dar es salaam.. hivyo ninauzoefu mkubwa sana
Jamani msi mlaumu Sana, safari yenyewe hakwenda.
Nilienda nikarudi fresh kabisaOk sawa mkuu tupe mrejesho safari Yako ulienda ? Itapendeza
35kFull tank ya pikipiki inafika 40k??
Ulitumia muda gani mkuu na safari ilikuwaje?Nilienda nikarudi fresh kabisa
Full tank ya bm boxer inakufikisha Dodoma kutokea dar ?Asante sana. nitajaza full tenki nadhani mpaka dodoma nitaongeza tena full tenki nyingine
Unaweza kufika...maana lita 1 inaweza kufika kilometers 65Full tank ya bm boxer inakufikisha Dodoma kutokea dar ?
Masaa 12 nilienda mwendo wa kawaida tuUlitumia muda gani mkuu na safari ilikuwaje?
Aisee hongera bhanaa sikuwa online kidogoMasaa 12 nilienda mwendo wa kawaida tu
Nilienda Moja kwa Moja...ila usithubutu kusafiria usiku na pikipiki ni hatari sana kwakweliAisee hongera bhanaa sikuwa online kidogo
Ulienda na kurudi salama kabisa jambo la kushukuru mungu
Swali langu ulitoka dar saa ngap na dodoma saa ngap na ulienda Moja kwa Moja Hadi shy au ulilala njiani? Au ulilala wapi ?
Mimi kama vile nakuelewa sana tuuNilienda Moja kwa Moja...ila usithubutu kusafiria usiku na pikipiki ni hatari sana kwakweli