Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

Unam bipu malaika Israel atakupigia acha ujinga tafuta hera ununue hata passo namba D uwe unakapigisha safari
 
Tafuteni Pikipiki.. hizo boxer hazichelewi kufumuka spocket ukiwa katk mwendo..

Tumia KX au KTM.
 
Masaa 12 nilienda mwendo wa kawaida tu
Aisee hongera bhanaa sikuwa online kidogo

Ulienda na kurudi salama kabisa jambo la kushukuru mungu

Swali langu ulitoka dar saa ngap na dodoma saa ngap na ulienda Moja kwa Moja Hadi shy au ulilala njiani? Au ulilala wapi ?
 
Nilienda Moja kwa Moja...ila usithubutu kusafiria usiku na pikipiki ni hatari sana kwakweli
 
Mkuu
Nilienda Moja kwa Moja...ila usithubutu kusafiria usiku na pikipiki ni hatari sana kwakweli
Mimi kama vile nakuelewa sana tuu

Naomba kupitia jamii forum ukipata mda

Ulituahidi jf utaeleza Kila kitu kuhusu safari Yako tunaisubilia mkuu ukipata mda lakin nakuona upo active
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…