Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

Unaanzia safari mkoa gani?

Vaa safety gears vizuri, ukichoka simama utembee tembee kwa miguu unywe na maji.
atembee tembee kwa miguu kuelekea wapi na huku pikipiki ameicha wapi ? Au unamaanisha anyoshe nyoshe misuli ?
 
Ok sawa sawa mkuu aisee very nice kuhusu kupumzika vituo vilikiwa vingapi na Kila baada ya mda gani unaliamsha tena aiseee hapa Kuna shule na umakini na usalama nimeipenda
 
Barabara ulipitia ipi Ile ya mkata , korogwe, same, Moshi, Arusha, babati, singida, igunga, nzega, tinde, then shy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…