Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
- Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu.

- Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao.

- Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa.

Asanteni kwa kunisikiliza.

Expect same shit from the same goons.

Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today, tungesikia,

Hatutashirikiana kwa namna yeyote ile na wahuni waliopora uchaguzi, iwe kwenye sherehe, magengeni, visimani hata kwenye mazishi.

1732860661160.png

Kama hamuwezi kususia uchaguzi, susieni basi hata matendo yao, sherehe zao za kitaifa, mialiko yao, 4Rs zao, kataeni misaada yao, kifupi msishirikiane na mahasimu wenu kwa namna yeyote ile.
 
Chadema haina zana za kivita. Nguvu ya chadema ni hasira na msukumo wa raia. Sasa kama raia wanachukulia poa uporwaji wa haki zao, unataka chadema ifanye nini?

Familillah!!
 
Kwahiyo umuhimu wao kama chama ni nini kama hawawezi ku-mobilize umma.

Mbona CCM wao wameweza kuwafanya watanzania mazezeta.
 
chadema wasituchoshe wapo kwa ajili ya ruzuku..kila mtu na atambue....huu uchaguzi ulitakiwa uwe a kura za ndio na hapana... tosha sana...
 
- Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu.

- Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao.

- Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa.

Asanteni kwa kunisikiliza.

Expect same shit from the same goons.

Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today, tungesikia,

Hatutashirikiana kwa namna yeyote ile na wahuni waliopora uchaguzi, iwe kwenye sherehe, magengeni, visimani hata kwenye mazishi.

View attachment 3164889

Kama hamuwezi kususia uchaguzi, susieni basi hata matendo yao, sherehe zao za kitaifa, mialiko yao, 4Rs zao, kataeni misaada yao, kifupi msishirikiane na mahasimu wenu kwa namna yeyote ile.
Hivi hadi muda huu mbona Lema hajatoa tamko?
 
Chadema ije na mikakati ifuatayo:-
1. Kuwashughulikia wanaccm, watendaji kata, na viongozi wote wa ccm kaya kwa kaya.
2. Kuharibu miundombinu ya umma kama shule, madaraka na vituo vya polisi.
3. Kususia mikutano na vikao vyote vya viongozi wa serikali hii.
 
Umma ambao haupni umuhimu wa kuwa mobilized? Common man
Kumpigania mtwnzania ni kazi kubwa sana

Wanategemea ww ndio upigwe halaf wao wako nyuma
 
Suluhisho ni moja tu.
Mwenyekiti Freeman Mbowe ang'atuke, apishe nguvu mpya, akili mpya na mtizamo mpya.
Vinginevyo itazidi kukiporomoa Chama, hadi sasa mvuto wa Chama na ushawishi umepotea.
 
Chadema haina zana za kivita. Nguvu ya chadema ni hasira na msukumo wa raia. Sasa kama raia wanachukulia poa uporwaji wa haki zao, unataka chadema ifanye nini?

Familillah!!
Sorry kwan red brigade waliendanga wp?
 
Suluhisho ni moja tu.
Mwenyekiti Freeman Mbowe ang'atuke, apishe nguvu mpya, akili mpya na mtizamo mpya.
Vinginevyo itazidi kukiporomoa Chama, hadi sasa mvuto wa Chama na ushawishi umepotea.
Mbowe bado yupo sana
 
Chadema ije na mikakati ifuatayo:-
1. Kuwashughulikia wanaccm, watendaji kata, na viongozi wote wa ccm kaya kwa kaya.
2. Kuharibu miundombinu ya umma kama shule, madaraka na vituo vya polisi.
3. Kususia mikutano na vikao vyote vya viongozi wa serikali hii.
yote haya mbona hayawezekani
 
- Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu.

- Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao.

- Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa.

Asanteni kwa kunisikiliza.

Expect same shit from the same goons.

Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today, tungesikia,

Hatutashirikiana kwa namna yeyote ile na wahuni waliopora uchaguzi, iwe kwenye sherehe, magengeni, visimani hata kwenye mazishi.

View attachment 3164889

Kama hamuwezi kususia uchaguzi, susieni basi hata matendo yao, sherehe zao za kitaifa, mialiko yao, 4Rs zao, kataeni misaada yao, kifupi msishirikiane na mahasimu wenu kwa namna yeyote ile.
Wakiwaita kwenye maandamano mtatokea ?

Wakiwaambia msishirikiane na viongozi walioteuliwa na wasimamizi wa uchaguzi mtatekeleza ?

Mnataka tamko Kali la kuwaingiza msituni ?

Mnao huo ujasiri wa kupambana na dola ?

Wafuasi wa CHADEMA ndiyo mnawaangusha viongozi wenu.

Wengi wenu ni keyboard warriors tu na hamna mwelekeo Wala msimamo wowote unaoeleweka.
 
Back
Top Bottom