Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Unategemea huyu akupiganie kama Maalim Seif. Huyu anapigia bahasha.
Mageuzi nchi hii yataletwa na vijana wote wa kitanzania, wa vyama vyote na wasio na chama. Hakuna chama kimoja kinaweza kuleta mageuzi ya kisiasa. Human beings are just too corrupt,hasa Watanzania. Wake zao, vimada, ndugu wapo kwenye covid 19, maridhiano ya siri kuhusu nusu mkate, kumtunuku Samia na kumsifia kwa kila kitu toka Mbowe atoke jela ndio ulikuwa msimamo wa Chadema.
Hana moral authority kusimamia haki, Watanzania wanajua akipewa bahasha, ruzuku, akialikwa kwenye functions anasifu na kuabudu kwa kwenda mbele. Sina uhakika na Lissu kwanini aliunga mkono haya yote.