Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Natembea na mke wa mtu, mume wake kanionya mara 3

Na wew mkanye kwamba akuache ule raha na mwanamke wako
 
Wanakuwa watamu sana halafu kila siku ananiletea chakula gheto yani hadi raha utamu [emoji39]
Kuna mmachinga mwenzangu hapa Posta naye alionywa hakusikia. Ila kuna siku alikuja mjini akawa anavua nguo anabaki uchi huku dudu limedinda. Anazurura huku na kule. Ilibidi ndugu zake wakampigie magoti mwenye mke asamehe.

Mpaka sasa jamaa amekoma na yuko vizuri hana hamu tena na wake za watu. Ukitaka kumuona njoo hapa Posta Dsm karibu na Sanamu la Askari mbele ya jengo linaitwa IPS.
 
Anaitwa Nani
 
We chizi kweli,yaani unamla shemeji yetu halafu unatuita sisi ngozi nyeusi ni wa hovyo............unachokitafuta utakipata tu kwa jamaa wa South Afrika
 
Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja na kuondoka ila ajabu ni kuwa sijui mpuuzi gn kamwambia huyu jamaa kuwa huku mke wako mpwayungu village anamtafuna. Sisi ngozi nyeusi niwahovyo sana unaacha kufuata maisha yako kucha kutwa kupeleka umbea na zaidi ya yote hufaidiki chochote.

ONYO la mwisho aliponipa alisema yeye kuwa South Africa haina maana hataki kuwa karibu na Familia ila tu nichangamoto za maisha hivyo yupo huko kutafuta chakula cha watoto ila akija naakakuta bado naendelea na mke wake atakuja kunifanya kitu mbaya Sana.

Nipo katika tafakuri nzito ila uzuri yupo nje ya nchi ingekuwa yupo Singida au Arusha ningeshaachana na mke wake mda mwingi sana kuepuka fedheha ya kufumaniwa ila kunipiga hawezi maana ni mwembamba sana hana mwili.
Hakuna tatizo cha msingi uwe unatembea na KY Jerry ili ukiingia kwenye 18 zoezi lisiwe gumu.

Vipi umeshaacha kujambajamba?
 
Ogopa Sana mtu anayekuonya kwa maneno mepesi zaidi ya Mara moja.
Vip mama j akiolewa utaachia ngazi?

Afu mwambie mama j alipotoa limbwata alokupa anipe connection kuna mtoto wa mama mkwe ananitesa.🤣🤣🤣🤣
 
Hii hali inakoelekea najiona kabisa nipo ktk msongo wa mawazo maana huyu mwanamke nimeanza kutembea nae tangu mme wake alipoondoka akaenda South Afrika na huu ni mwaka wa tatu sasa. Huwa anakuja na kuondoka ila ajabu ni kuwa sijui mpuuzi gn kamwambia huyu jamaa kuwa huku mke wako mpwayungu village anamtafuna.

Sisi ngozi nyeusi niwahovyo sana unaacha kufuata maisha yako kucha kutwa kupeleka umbea na zaidi ya yote hufaidiki chochote.

ONYO la mwisho aliponipa alisema yeye kuwa South Africa haina maana hataki kuwa karibu na Familia ila tu nichangamoto za maisha hivyo yupo huko kutafuta chakula cha watoto ila akija naakakuta bado naendelea na mke wake atakuja kunifanya kitu mbaya Sana.

Nipo katika tafakuri nzito ila uzuri yupo nje ya nchi ingekuwa yupo Singida au Arusha ningeshaachana na mke wake mda mwingi sana kuepuka fedheha ya kufumaniwa ila kunipiga hawezi maana ni mwembamba sana hana mwili.

Hakikisha muda wote una kikopo kidogo cha Rays au Vaseline
 
Haaaa! We mjanja sana mkuu, kula tu huyo mke wake, kwani ni mwembamba hana nguvu, hawezi kukupiga.

Ila andaa hicho unachokalia, atakuja kukuporomosha mavi kwa kif.iro cha fumanizi, tena njemba zenye dudukojo kama mguu wa mtoto ndo zitakushindilia huyo kwenye mtaro wako. Yeye unayemwita mwembamba hana nguvu atakuwa pembeni anatoa maelekezo namna ya kukupelekea moto.

Endelea tu, wewe mjanja. Utakipata unachotaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kukupiga sio lazima atumie mikono yake anaweza akakupiga kwa kutumia hata watu, kua makini mzee, Kimbia kabla hujakuja na uzi mpya hapa "Yaliyo nikuta baada ya kutembea na mke wa mtu"
Hebu tupe kidogo mkuu ilikuwaje?
 
Kijana acha kuwa na roho ngumu mademu wako wengi achana na demu wa mtu, unahatarisha marinda yako.
 
Back
Top Bottom