Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za web.archive org.

Itazame ilivyo nzuri kwa picha hapa chini

IMG-20250808-WA0004.jpg


na kwa mtandaoni (online) hii, bonyeza hapa Bright & Genius Editors

Tovuti kama hii utaipata kwa bei ndogo ya 300,000 Tsh. Kwa mawasiliano 0756704145 nipo mkoa wa dar es salaam, Mbezi
 
Subscription fee ni shilingi ngapi kwa mwaka?
Inategemea na kampuni ya hosting na aina ya specifications unazotaka kulingana na mahitaji Yako kama unavyokula sana ukiwa na njaa na website ndo hivo hivo kama watumiaji ni wengi sana unahitaji specifications za kiwango Cha juu
 
Inategemea na kampuni ya hosting na aina ya specifications unazotaka kulingana na mahitaji Yako kama unavyokula sana ukiwa na njaa na website ndo hivo hivo kama watumiaji ni wengi sana unahitaji specifications za kiwango Cha juu
Nifafanulie hapo mkuu tafadhali.
 
Inategemea na kampuni ya hosting gharama zao na specifications unazotaka, mfano bluehost ana $3.95 kwa mwezi ,Kuna $6.45 kwa mwezi na Kuna $6.95 kwa mwezi na zaidi unakuta storage unapewa 10GB, 50GB, 100GB Na kuendelea. Yaani kama unavyonunua simu yenye uwezo mkubwa na huku ndo hivo hivo unachangua uwezo wa server ziwe na ujazo mkubwa, ram ,CPU speed na n.k
Nifafanulie hapo mkuu tafadhali.
 
Inategemea na kampuni ya hosting gharama zao na specifications unazotaka, mfano bluehost ana $3.95 kwa mwezi ,Kuna $6.45 kwa mwezi na Kuna $6.95 kwa mwezi na zaidi unakuta storage unapewa 10GB, 50GB, 100GB Na kuendelea
Asante kaka. Na domain ni hiyohiyo 300??
 
Back
Top Bottom