Subscription fee ni shilingi ngapi kwa mwaka?Karibuni
Inategemea na kampuni ya hosting na aina ya specifications unazotaka kulingana na mahitaji Yako kama unavyokula sana ukiwa na njaa na website ndo hivo hivo kama watumiaji ni wengi sana unahitaji specifications za kiwango Cha juuSubscription fee ni shilingi ngapi kwa mwaka?
Nifafanulie hapo mkuu tafadhali.Inategemea na kampuni ya hosting na aina ya specifications unazotaka kulingana na mahitaji Yako kama unavyokula sana ukiwa na njaa na website ndo hivo hivo kama watumiaji ni wengi sana unahitaji specifications za kiwango Cha juu
Subscription fee ni shilingi ngapi kwa mwaka?
Nifafanulie hapo mkuu tafadhali.
Asante kaka. Na domain ni hiyohiyo 300??Inategemea na kampuni ya hosting gharama zao na specifications unazotaka, mfano bluehost ana $3.95 kwa mwezi ,Kuna $6.45 kwa mwezi na Kuna $6.95 kwa mwezi na zaidi unakuta storage unapewa 10GB, 50GB, 100GB Na kuendelea