Wewe bwana Admit unatumia AI kwani ni dhambi? xAI yenyewe inatumia AI kuandika code sembuse wewe ulievamia fani??Hamna hapo Cha AI kazi imefanyika mkuu, karibu
Kazi nzuri ila ifanye iwe responsive kwa Kila device ..Nicheki +255 0756704145 - Hii tovuti nilimtengenezea mwanajamiiforum Meneje wa Kampuni, tovuti kama hii natengeneza kwa 500,000 Tsh bei kitonga kabisa, karibu. Kama unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu upo au programu (software ) ipo bei mfumo wa kumbukumbu kutunza wa seva ni 500,000 Tsh ,na programu ni 400,000 Tsh.
View attachment 3449655
Tembelea hapa kuona vizuri kwenye web archive . com bgeditors.com
======== Kama unahitaji nicheki
Punguzeni wivu kwani akitumia ai ni kosa hamna lolote mpeni kazi sio longolongoWewe bwana Admit unatumia AI kwani ni dhambi? xAI yenyewe inatumia AI kuandika code sembuse wewe ulievamia fani??