BLACK_WIDOW
Senior Member
- Nov 17, 2018
- 149
- 382
Ni mwaka wa 4, tangu nigundulike kuwa na ugonjwa huu unaoathiri ini, lakn kwa kipnd chote hko sijapata tiba ya uhakika, hicho ndo kinanipa hofu, kwani tatizo linazidi kuwa kubwa, nimeamua kutumia jamvi hili kuomba wana jf kama kuna ajuaye wapi na nani anayeweza kutibu tatizo hili, ili niweze kusaidiwa