Nateseka na Hepatitis kwa miaka 4 sasa

Nateseka na Hepatitis kwa miaka 4 sasa

BLACK_WIDOW

Senior Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
149
Reaction score
382
Ni mwaka wa 4, tangu nigundulike kuwa na ugonjwa huu unaoathiri ini, lakn kwa kipnd chote hko sijapata tiba ya uhakika, hicho ndo kinanipa hofu, kwani tatizo linazidi kuwa kubwa, nimeamua kutumia jamvi hili kuomba wana jf kama kuna ajuaye wapi na nani anayeweza kutibu tatizo hili, ili niweze kusaidiwa
 
Pole sana mkuu!
Muhimbili kuna kitengo cha Gastrointestinal ambapo ndio wanashughulika na tatizo hili.

Kwa sasa kuna ufadhili wa WHO kwa hiyo tiba inapatikana. Cha msingi uwe na rufaa ama kama una bima uende moja kwa moja IPPM ufanye appointment.

Pole kwa kuumwa ndugu. Mungu na akujalie uponyaji.
 
Pole sana mkuu, jaribu kufata maelekezo unayopewa humu ndani, ukifanikiwa tuletee mrejesho.
 
Pole sana ndugu! Eeh! Mwenyezi Mungu mwingi wa huruma na baraka tele nakushukuru kwa ajili ya uaminifu wako nakuomba ndugu huyu anayesumbuliwa na tatizo hili kwenye mwili wake nakuomba kwa uwezo wa roho mtakatifu na kwa jina la bwana wetu Yesu kristo ukampe uponyaji wa haraka na kumpa tumaini jipya nina yaomba hayo ni katika jina la bwana wetu Yesu kristo.Amen
 
Nakuombea uponyaji wa haraka.
Zingatia ushauri wa wadau mapema sana
 
Back
Top Bottom