Nateseka sana kwa tukio hili, ukipata nafasi ya kusaidia mtu msaidie kweli

Wanamazingaombwe hao wamejaa mjini,mwaka mzima mtu anakidonda kimeoza na anatembea kama kawa haendi hospitali na hatumii dawa yeyote.......ukijaa unajazwa
Sasa hivi kufungua file 6000 bado matibabu kwa hilo guu kakosa sana matibabu yake hayapungui laki tatu na kuendelea
 
Ukimwambia twende hospital hataki. Huwezi buruza kidonda. Wale wanapaka nyama
 
Exactly !
 
Huwa inatokezea mno..naokota vitu vilivyopotezwa...na vingine vina thamani kama pesa simu Vito nk!
Nikinitizama na hali yangu ni dhofulhal.. huwa nabaki na waza ..kama majaribu ni mtaji wa kuongeza imani au ni nini..
Napenda sana kutoa sadaka... na kusaidia nafsi hunituma sana!
Nakumbuka pia...mtu from no where ...alinipa mkono nilipokuwa..kufani...kanipotea kiajabu...
Najihisi ni deni..ndio maana hata niokote narejesha..
 
[emoji120]ameen.nmeguswa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni heri kutoa kuliko kupokea msimu huu wa sikukuu tujifunze kutoa kwa wahitaji wagonjwa,yatima, wajane, maskini

Wengine wanahitaji tu maneno ya faraja ndo pona yao..baada ya hapo subiri baraka zitakavyomiminika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna video clip moja bondia wa zamani Mike Tyson anasema anatamani angesaidia zaidi ya alivyofanya, angekua na furaha zaidi ya aliyonayo sasa. Kwa hakika clip ile ilinibadilisha sana. Furaha yetu iwe katika kuwasaidia wengine. It makes you feel good
 
Kuna video clip moja bondia wa zamani Mike Tyson anasema anatamani angesaidia zaidi ya alivyofanya, angekua na furaha zaidi ya aliyonayo sasa. Kwa hakika clip ile ilinibadilisha sana. Furaha yetu iwe katika kuwasaidia wengine. It makes you feel good
You are sooo right, tusiache fursa ya kusaidia mtu ikupite, kama ni mhitaji wa kweli lakini, sio mtu anataka akupige kibomu aende kubet au kulewa basi nawe unampa tu, hiyo si sawa, kuna watu ukimwangalia tu usoni, hujiulizi mara mbili kwamba anahitaji msaada...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…