ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Fanya kipimo cha Culture and Sensitivity kwenye Hospital kubwa utajua UTI yako inapaswa kutibiwa na Dawa Gani na Una Aina Gani ya Wadudu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo mkoa gani nitakusaidia.Iwe Ni UTI sugu au ya majani ya chai au I we bawasiri ya iliyojificha n.k njoo in box tuhojiane In Sha Allah naamini nitakusaidia pole Sana.Kutoka moyoni kabisa SIJAWAHI KUFANYA HIVYO iwe kwa mwanamke au kwa mwanaume. Ninahitaji sana msaada wa utatuzi,, ningekuwa nimeshawahi hata mara moja ningesema wazi maana nahitaji kupata ufumbuzi.
Kagonge sindano 5 direct kwenye mshipa mkononi wiki tu unapona. Sijui inaitwaje dawa ila ukifika dispensary kokote wanajua. Wanapiga kwenye mshipa inaingia kazini wiki mwili sumu yote kwaheri.
Sio powercef!!jina la iyo dawa ipo juu jamaa mmoja ameitajaNimeshapita hapo pia. Nilichoma Powercef kwenye mshipa kwa siku 5 mfululizo ikifuatiwa na capsules amoxycillin kwa siku 5 tena lakini sikuona tofauti yoyote. Yaani hata sielewi??
Mkuu nimesha mwambia kuwa dawa za hospitali akitumia asipo pona anitafute kwa wakati wake ili nipate kumtibia maradhi yake na aweze kupona.
Hizo ndizo ambazo ukienda hospitali unaandikiwa au kupewa lakini HAZIMALIZI NG'O, niulize mimiHapo ni culture sensitivity
Ukiwa unahangaikia hiyo
Tumia dawa zitwa tazo
Metronidazole....
Doxycycline....
Cefixime.....