Nateswa na ugonjwa huu wa ajabu, msaada tafadhali

Ndugu zangu naombeni ushauri,nina tatizo la ajabu linalonitesa kwa muda wa miaka mitatu sasa la mwili wangu kuwa na muwasho mithili ya pilipili hasa ninapolala tu.Ni maumivu makali ambayo yanaanzia katikati ya tumbo na kifua nakusambaa sehemu mbalimbali za mwili,mapajani,mikononi na sasa yanasambaa hadi usoni na kunifanya kila siku nisilale usiku.
Muwasho si wa kujikuna wala kuvimba ila ni WA ndani kwa ndani,kazi yake ni kuvuruga mwili tu na usingizi kupotea.

Nachoshangaa ni kwamba tatizo hili halitokei nikiwa nimeketi wala nikiwa nimesimama,natembea au kufanya chochote,bali nikilala tu na hasa napoanza kupata usingizi huanza kwa ukali!relief yangu ya kwanza huwa ni kuamka na kukaa,ambapo huchukua dakika moja yanapotea.

Nimeshafanya vipimo vingi kwenye Hospitali kubwa hapa Dar ikiwemo Saifei vya damu na Endoscopy,kilichogundulika kilikuwa inflammation bowels pekee (tatizo kwenye utumbo) ambalo sidhani kama ndio chanzo cha muwasho huu kama mtu unavyohisi muwasho wa pilipili halafu si mtumiaji.

Wadau hebu tushare experience ili na Mimi nifurahie usingizi,tatizo hili huja na kuondoka.
Pole sana kiongozi.
 
Mwili wa binadamu ni kitu complex sana. Nimesema hivyo kwa sababu kuna mtu wa wangu wa karibu sana alishapatwa na hilo tatizo. Huwezi amini hata macho muda mwingine anasema yalikuwa yanawasha kama amewekewa pilipili.
Alipona? Je, alifanyaje hadi tatizo likaisha?
 
Pole sana mkuu,kuna maradhi huwa hayaeleweki na hayana dawa.
Mi nna tatizo moja,yani kuna wakati ntashangaa tu mabegani km vile kuna vitu vinatembea huko ndani vinatekenya,
Huwa inatokea nikiwa nimejilaza tu.basi hiyo hali ikianza ndo nakesha tena, maana lazima nijitingishe nipandishe mabega juu chini,niweke barafu mabegani aisee inakera sana sana.
Na sielewagi hiyo hali inatokana na nini.
Ni inakuja na kuondoka yenyewe
 
Mwili wa binadamu ni kitu complex sana. Nimesema hivyo kwa sababu kuna mtu wa wangu wa karibu sana alishapatwa na hilo tatizo. Huwezi amini hata macho muda mwingine anasema yalikuwa yanawasha kama amewekewa pilipili.
Coincidence tu hizo mkuu,

Hapo kitu cha kwanza kusense ni uvimbe kwenye uti wa mgongo ambao huenda unasababisha maumivu yasambae mwili mzima anapolala chali ni kama ana trigger impulse zisambae mwili mzima,

Screenshot_20231119-125219.png

Bowel inflamation inahusiksje hapo mkui?
 
Hapana,si muwasho unaohitaji kujikuna,ni ule WA ndani kwa ndani,kama lingekuwa tumbo basi ni kama Ile vurugu ya vidonda vya tumbo Vikichachamaa
Ni hivi: kuna mtu wa karibu sana kwangu alikuwa ana tatizo la kuwashwa mwili mzima kama unavyosema. Infact alikuwa anasema siyo kuwashwa bali alikuwa anasikia vitu kama sindano vinachoma choma mwilini. Na hii ilikuwa inatokea kwa muda fulani na inakuja ghafla na kutoweka ghafla. Kwa mfano akifanya kazi mwili ukipata joto kidogo hivyo vitu vinavyochoma vinatokea mwili mzima. Wakati mwingine akitoka kuoga navyo vinachoma. Pia ilifikia hatua macho akienda kulala macho yanakuwa kama mtu kaweka pilipili ndani na machozi yanatoka. Akiamka na kukaa kitako macho yanakuwa sana. Basi akafanya kufanya kipimo akakutwa na inflamation kwenye bowel. Aliambiwa inflamation yake imesababishwa na mwili wake kuingia kwenye kitu kinachoitwa autoimmune, hivyo unatoa ''askari'' wa kujinga na magonjwa na wale ''askari'' wanashambulia mwili wake hivyo kusababisha inflamation. Hivyo alipewa dawa za kuufanya mwili wake usitoe tena wale ''askari'' pasipo sababu. Baada ya kutumia zile dawa ile hali kuwashwa ikaisha.
 
Pole Sana
Nenda Kwa madaktari bingwa
Jaribu kwenda ekenywa hospital japo ni gharama kidogo ila Wana madaktari wazuri ukihitaji mawasiliano nicheck
Hapo itakuwa sehemu sahihi,mleta mada kama upo Dar jaribu kwenda hii hospital ipo kati ya Magomeni Usalama na Mwembechai ule mtaa wa kuingilia kwa sheikh Yahya

Hawa jamaa wanahusiana sana na masuala ya allergy nilipata shida ya mtoto kusumbuliwa mara kwa mara na mafua yasiyoisha akaponea pale.
 
Pole sana mkuu,kuna maradhi huwa hayaeleweki na hayana dawa.
Mi nna tatizo moja,yani kuna wakati ntashangaa tu mabegani km vile kuna vitu vinatembea huko ndani vinatekenya,
Huwa inatokea nikiwa nimejilaza tu.basi hiyo hali ikianza ndo nakesha tena, maana lazima nijitingishe nipandishe mabega juu chini,niweke barafu mabegani aisee inakera sana sana.
Na sielewagi hiyo hali inatokana na nini.
Ni inakuja na kuondoka yenyewe
Mimi Jana nimejaribu barafu kuinawa usoni kwa mara ya kwanza ikanipa ahueni nikalala kuanzia saa 11,halafu haya magonjwa mchana hivi huoni wala husikii chochote,ngoja upande kitandani sasa
 
Hapo itakuwa sehemu sahihi,mleta mada kama upo Dar jaribu kwenda hii hospital ipo kati ya Magomeni Usalama na Mwembechai ule mtaa wa kuingilia kwa sheikh Yahya

Hawa jamaa wanahusiana sana na masuala ya allergy nilipata shida ya mtoto kusumbuliwa mara kwa mara na mafua yasiyoisha akaponea pale.
Akishindwa nimpe mawasiliano aulize mda wa kuonana na specialist wa ngozi
 
Ndugu zangu naombeni ushauri,

Nina tatizo la ajabu linalonitesa kwa muda wa miaka mitatu sasa la mwili wangu kuwa na muwasho mithili ya pilipili hasa ninapolala tu.Ni maumivu makali ambayo yanaanzia katikati ya tumbo na kifua nakusambaa sehemu mbalimbali za mwili,mapajani,mikononi na sasa yanasambaa hadi usoni na kunifanya kila siku nisilale usiku.

Muwasho si wa kujikuna wala kuvimba ila ni WA ndani kwa ndani,kazi yake ni kuvuruga mwili tu na usingizi kupotea.

Nachoshangaa ni kwamba tatizo hili halitokei nikiwa nimeketi wala nikiwa nimesimama,natembea au kufanya chochote,bali nikilala tu na hasa napoanza kupata usingizi huanza kwa ukali!relief yangu ya kwanza huwa ni kuamka na kukaa,ambapo huchukua dakika moja yanapotea.

Nimeshafanya vipimo vingi kwenye Hospitali kubwa hapa Dar ikiwemo Saifei vya damu na Endoscopy, kilichogundulika kilikuwa inflammation bowels pekee (tatizo kwenye utumbo) ambalo sidhani kama ndio chanzo cha muwasho huu kama mtu unavyohisi muwasho wa pilipili halafu si mtumiaji.

Wadau hebu tushare experience ili na Mimi nifurahie usingizi, tatizo hili huja na kuondoka.
Inaweza kuwa ni Neuropathic itchs ambayo hisababishwa na nerve kuwa demage. Ni vyema zaidi ukamcheki Neurologist akusaidie.
Pia unaweza tumia hii dawa kwa ajili ya kutuliza tu maumivu na muwasho ila cha msingi zaudi muone huyo mtaalamu akusaidie.
 
Attachments

  • 9D3AD9B9-18AE-441F-9A66-155A076E79B8.jpeg
    9D3AD9B9-18AE-441F-9A66-155A076E79B8.jpeg
    9.2 KB · Views: 9
Inaweza kuwa ni Neuropathic itchs ambayo hisababishwa na nerve kuwa demage. Ni vyema zaidi ukamcheki Neurologist akusaidie.
Pia unaweza tumia hii dawa kwa ajili ya kutuliza tu maumivu na muwasho ila cha msingi zaudi muone huyo mtaalamu akusaidie.
Shukrani sana mkuu,Neurologist nilishamuona pale Saifei,tena bingwa anaitwa Dkt.Yusuf lakini kama nilivyoandika inakuja inapotea inakuja inapotea
 
Kama ni auto immune disease naweza nkakubaliana na wewe ina sense lakini vipi kama haitakuwepo? Maana autoimune disease iko class moja na allergy
Ni kweli. Hapa unajua hatufanyi diagnosis bali tu-share experince tu. Daktari ndiye atafanya kwa uhakika. Hjalte hiyo inflamation dr hakukupa dawa yoyote? Alikuambia chanzo kinaweza kuwa nini? Kuna nyingine zinaweza kuwa ni chronic hasa kama zinasababishwa na autoimmune ya mwili wako hivyo inabidi utumie dawa muda wote au kwa kipindi fulani.
 
Ni hivi: kuna mtu wa karibu sana kwangu alikuwa ana tatizo la kuwashwa mwili mzima kama unavyosema. Infact alikuwa anasema siyo kuwashwa bali alikuwa anasikia vitu kama sindano vinachoma choma mwilini. Na hii ilikuwa inatokea kwa muda fulani na inakuja ghafla na kutoweka ghafla. Kwa mfano akifanya kazi mwili ukipata joto kidogo hivyo vitu vinavyochoma vinatokea mwili mzima. Wakati mwingine akitoka kuoga navyo vinachoma. Pia ilifikia hatua macho akienda kulala macho yanakuwa kama mtu kaweka pilipili ndani na machozi yanatoka. Akiamka na kukaa kitako macho yanakuwa sana. Basi akafanya kufanya kipimo akakutwa na inflamation kwenye bowel. Aliambiwa inflamation yake imesababishwa na mwili wake kuingia kwenye kitu kinachoitwa autoimmune, hivyo unatoa ''askari'' wa kujinga na magonjwa na wale ''askari'' wanashambulia mwili wake hivyo kusababisha inflamation. Hivyo alipewa dawa za kuufanya mwili wake usitoe tena wale ''askari'' pasipo sababu. Baada ya kutumia zile dawa ile hali kuwashwa ikaisha.
Certainly this is likely true,

The problem looks endocrine system (hormones signaling) and not nervous system (neurons impulses).

Kama mtu ana anxiety or internal inflammation basi endocrine glands zina release hormones kwenye blood in an attempt to attack the cause. Muwasho huo ndiyo side effects ya hormones kwenye blood, that amount of fluids kwenye blood vessels zimezidi normal flow and hence una experience an increase in pressure which result in pin-like pains felt internally.

Doctors might put this clear. I’m an engineer. But I experienced this.

If there’s is no physical cause hiyo hali hua ina die out eventually. Lakini kama hali imekua persistence then likely hiyo hali haiondoki mpaka utibu cause which is Bowel inflammation kama ni kweli.
 
Ni kweli. Hapa unajua hatufanyi diagnosis bali tu-share experince tu. Daktari ndiye atafanya kwa uhakika. Hjalte hiyo inflamation dr hakukupa dawa yoyote? Alikuambia chanzo kinaweza kuwa nini? Kuna nyingine zinaweza kuwa ni chronic hasa kama zinasababishwa na autoimmune ya mwili wako hivyo inabidi utumie dawa muda wote au kwa kipindi fulani.
Kuna dawa alinipa ya kumeza kabla sijalala kwa muda wa wiki siikumbuki jina,lakini kilikuwa ki-pill kidogo hivi kama pilitoni,shida ninayoaddress hapa ni Ile tatizo kuja kupotea na kuja Tena.
 
Back
Top Bottom