Nateswa sana na jini mahaba

Kaka either kweli umeshikwa pabaya AU una tutania.

Maana kuna kitu kinanijia rohoni juu yako, lakini anyway KWA YESU KRISTO NDIYO MWISHO WA MATATIZO.

Upo tayari kumtafuta Mungu wa Haki akupe Haki yako na Kurejesha Furaha na Amani kwako?
 
Pole kwa matatizo ndugu yangu kila kiumbe kimeumbwa kwa haki sawa iwe kinaonekana au hakionekani iwe kinashkika au hakishikiki wote tumeumbwa kwa Muumba mmoja kwa namna moja ama nyingine matatizo kama hayo mara nyingi huwa kwenye ukoo na kuna chanzo na si kila kiumbe kisichoonekana ni jini hali yoyote pia unaweza ikataa wewe mwenyewe kwa njia yoyote utayoamua kutumia zamani mambo yalikua rahisi sababu hatukuaminishwa kwenye mizimu ya warabu na wazungu ila tuliamini katika mizimu ya koo zetu. Ulizia kwa wakubwa wako hilo jambo utapata suluhisho utahangaika kwa kuhama makanisa na misikiti na vilinge hutaondokana nalo sababu kuna siri kubwa katika hizo sehemu na haziaminiani kila mmoja anamuona mwenzie muongo hivyo jikite kwenye unachokiamini lakini Muumba aliweka miti kama tiba kwa viumbe vyote. Anzia kwenye shina ukoo wako.
 
Kula nyama ya Nguruwe kila siku Mkabidhi Yesu maisha yako umeshapona
 
Naliona tatzo la ugonjwa wa akil hapa

Nenda muhimbil kuna kitengo maalu. Watakusaidia
Yawezekana ila Kama ni msomaji was vitabu vya MUNGU bibilia Ina maelezo mengi ya viumbe hivyo. Mf. Yesu aliwaagiza majini waende wakawaingie nguruwe ili mwamwache jamaa mmoja Alie jiita jina la majeshi, Suleiman alijenga hekalu wafaya kazi au mafundi was jengo Hilo wengine walikuwa majini walio pishana zamu na binadamu katika ujenzi wa hekalu, sikila Jambo ni kulipinga na kejeli.
 
Asante, ni kwel nilishawah ota kuhusu ndoa ila nishaanza maombi naamini nitapona kwa jina la yes, ilikuchukua mda gan mpka kupona kwako mtumishi kabisa
Siku tatu tu za maombi zilitosha ila yanatabia ya kurudi rudi kupima kama umesimama..ukilegea yanarudi kama yote. Ukishafunguliwa simama katika maombi na utakatifu..period. neno ndio hilizi yako!
 
KUNA HAWA WALOKOLE hawa wanajifanya wajuaji sana humu yamejazana yanajifanya yanamjua sana Mungu et yanamshaur mtoa mada amshike yesu sjui atende matendo mema, aisee guys kama hujawai pitia shida hizi usiwe mwepes kukomenti upuuz wa imani yako.

majini ni viumbe wa rohoni walio ktk kundi la pepo yaan uzao wao ni asili ya watu wakale kwa muingiliano wa fallen angels, yaan malaika waliohasi pamoja na shetan baazi yao walizaa na watu wa mwanzo ndpo mchnganyiko huo ukaleta uzao mpya wa demon/mapepo(majini,mizimu,vibwengo) .

na mapepo hawa walikuwa na miili, lkn walikuja kupotezwa ktk uso wa dunia baada ya Muumba kuwaangamiza ktk gharika, miili yao ilikufa, lkn roho zao zipo na ndizo hizi pepo zinaranda randa dunian kwa kuwaingilia watu, na kwakuwa walikuwa kama watu hivyo basi wana hisia zote kama za mtu, isipokuwa hawana miili, lkn kwa nguv zao wanauwezo wa kujibadil kuja ktk mwl wa ubinadam ambao asili yao ni watu weupe, yaani jamii za kizungu na mataifa yote ya watu weupe, ndiomaana ktk visa vyote vya watu waliokutana na majini husema kuwa wanaonekana kama waarabu/wahindi/wazungu, na huo ndyo muonekano wao wa asili na asili yao ndyo hiyo,

ujue kuwa roho ina mwili wa rohoni ambyo ni reflection ya mwil wake kabla ya gharika, lkn wanapokuja dunian huweza vaa umbo lolote, maana roho haina mipaka ya utendaji kazi ktk appearance,

wew kama mtu unaesumbuliwa unatakiwa ujuwe kuwa unazo nguvu zakuwaamlisha hao viumbe wafuate matakwa yako bila pingamizi, au ukitaka kukubaliana nao ni wew, lkn kimamlaka unazo nguvu kuwashinda.

kiroho kiumbe anaeumbwa leo anakuwa na nguvu kulko yule atakayeumbwa kesho, na ndvyo ilivyo watu waliumbwa kabla ya mapepo kutokea,

ujue kuwa mapepo hayajaumbwa, bali yaliibuka baada ya malaika wahasi kuzaa na watu ndipo ukatokea uzao wa wanadamu, na wanadamu ni jamii zote nje ya mtu mweusi, yaan white races zote, na ktk hiz racea, ndpo yalikotokea makundi ya hawa viumbe wenye nguvu kama za wazaz wao yaan malaika, lkn haibadili ukwel kuwa mapepo kimamlka yako chini ya kiumbe aliyewatanguliwa kuja duniani.

ukwel huu ukiujua hakuna pepo wala shetan la aina yoyote litakalokuja kukutesa, na huwa nawaeleza humu watu lkn mnazarau, na madhara yake ndyo hayo.

na mambo kama haya waganga&manabii hawawaambii na hawatokuja kuwaambia maana nao ni sehem ya biashara chafu ya kuwatesa watu, ujue kutofautisha kati ya mtu na mwanadamu,

pepo hana nguvu kukushinda ujuwe hili kwanzia leo, ukitaka akushinde sasa niwew kuamua kujitesa kuangaika kuwafuata hao matapel waganga, mashehe na wachungaji hawa wote hawana uwezo wakutoa pepo zaid ya kultuliza kwa muda,

jiulize tangu manabii na mashehe wameanza kufanya maombi yao mbona matatizo hayaishi? jibu ni kuwa wao pia wanafanya kazi pamoja na hao viumbe kwakujua ama kutokujua.

note:-
[emoji117]rudi ktk asili yako, tumia vyakula vya asili
[emoji117]zingatia ndoto zako zoote uotazo muda wowote
[emoji117]vita uanzia rohono, na vita yako ianze ktk ndoto maana hakuna njia utakayoweza kuongia rohoni kama huna nguvu izo isipokuwa njia rahisi ya ndoto, namaanisha anza kmshinda huyo kiumbe ukiwa ndoton, jarbu kujitambua ukiwa ndotoni na umkemee mkiwa ktk matendo hayo ya ngono, ujue kuwa ukiwa ndotoni unauwezo wa kushinda by 99% moja inayobak uzinguwe wew kwa kutojitambua, kiumbe chochote kinapokujia ndoton nikama kimeingia ktk nyumba yako ambayo una kila aina ya siraha za kumshinda ivyo jarbu kupamban nae, ndiomaana tuma washauri kuzi control ndoto zote uotazo.

the one who control dream, the someone who control the physical world (nenda kafuatilie masomo ya lucid dream)

ukijua kucontrol ndoto, utajuwa kuwashinda wachawi na mashetan wenye nguvu za aina yoyote ile,

[emoji117]usiogope vitisho wakufanyiavyo, pamban mpka mwsho wa ndoto na uhakikishe wew ndye mshindi

Elimu hii hutowai pata kwa nabii wala shehe, zaid utapata kwa watu waliojitambua tu. hivyo hii nakupa mbiny ya mwisho, ukishindwa basi ujuwe umekosea niliyokuelekeza...nakutakia ushindi mwema....
 
Jentaaa
 
Kutokana na mada ilinibidi niwe almost wa kwanza ku'share kitu fulani, lakini ni ngumu tena, dooh !

Niseme tuu hauko peke yako, i will be back.
Tupo wengi aiseee...waliofanikiwa kupona WAKITUMIA njia gani
 
Hilo jini mahaba anataka nini kwako kwani?

Ova
 
Lakini yapo mengine yanatengenezwa na binadamu mkuu na Leng nikulipiza kisac
Usiombe utupiwe jini la kisasi utajuta
 
Respect let me do this
 
Pepo hawezi kumwingia mtu pasipo sababu, huyo Pepo mahaba alikuingia kwa sababu na hawezi kuondoka moja kwa moja hata kama unazunguka kwenye maombi bila kuondoa sababu iliyofanya akuingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…