Natia nia ya kuolewa

Natia nia ya kuolewa

Wanaume tunapitia magumu sana.

Unakuta mtoa mada, keshawahi kua Bamedi ,kawa mfanya masaji , kachoooka wee, papuchi imejiishiaa, sasa kaamua kutulia tuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mtu anaokota, anapiga vigelegele nimepataaaaaa
Kuhusu pesa, huyo manzi fukara
kuhusu kibamia ,huyo manzi ana bwawa na ni mzoefu wa shughuli(kinu chake kimetanuka mno) ndo maana vibamia vitampwaya.
Ni extra large K anahitaji Pipe ya Punda ndio ifiti.
Sorry.
Karibu Jamii Forum
Naona wewe Ni mpya sana.
Thin Great
Think wise,
Not Other wise
 
Majuzi kati mie kichwaBOGA Mtoto mrembo toka familia ya kitajiri nilitangaza nia ya kuolewa..nshapokea maombi ka miatano ya wanaume,nimewavet nkagundua wote amna kitu wanataman msambwanda wangu na ela zangu tu,wote nimewapiga block kwanza sitaki mume tena adi ntakapotoa utaratibu mwingne...nimetongozwa adi na mbunge mstaafu akaaid kunipa nusu ya kiinua mgongo nimekataa mie najiamin
Sawa Dada ata mbwa ana msambwanda
 
Endelea kupambana na waume za watu ndio wanaokufaa. Vipi wale waume wa wapangaji wenzio bado unaendelea nao?
 
Majuzi kati mie kichwaBOGA Mtoto mrembo toka familia ya kitajiri nilitangaza nia ya kuolewa..nshapokea maombi ka miatano ya wanaume,nimewavet nkagundua wote amna kitu wanataman msambwanda wangu na ela zangu tu,wote nimewapiga block kwanza sitaki mume tena adi ntakapotoa utaratibu mwingne...nimetongozwa adi na mbunge mstaafu akaaid kunipa nusu ya kiinua mgongo nimekataa mie najiamin
[emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477][emoji16][emoji16][emoji477]
 
Siku hizi wanawake wa kishua pia mnatangaza nia ya kuolewa!?

Haya kawapelekee wadau wakifumue kiboga hicho!
 
Alikuwepo gILeSi mwenye msambwanda unaotingishika, kwa sasa amekuwa historia..

Zamu ipo njiani...
Mkuu samahani uzi wa Gilesi sikuupata kabisa. Ile mada ya nyuzi zilizowahi kubamba nilibahatisha wa CCNP Engineer. Unaweza nipa heading au link.
 
Majuzi kati mie kichwaBOGA Mtoto mrembo toka familia ya kitajiri nilitangaza nia ya kuolewa..nshapokea maombi ka miatano ya wanaume,nimewavet nkagundua wote amna kitu wanataman msambwanda wangu na ela zangu tu.

Wote nimewapiga block kwanza sitaki mume tena adi ntakapotoa utaratibu mwingne...nimetongozwa adi na mbunge mstaafu akaaid kunipa nusu ya kiinua mgongo nimekataa mie najiamini.
Sio mzima ww. Kichwa boga kitakuwaje na akili sasa??!!hahahahahha
 
Majuzi kati mie kichwaBOGA Mtoto mrembo toka familia ya kitajiri nilitangaza nia ya kuolewa..nshapokea maombi ka miatano ya wanaume,nimewavet nkagundua wote amna kitu wanataman msambwanda wangu na ela zangu tu.

Wote nimewapiga block kwanza sitaki mume tena adi ntakapotoa utaratibu mwingne...nimetongozwa adi na mbunge mstaafu akaaid kunipa nusu ya kiinua mgongo nimekataa mie najiamini.
Njoo pm tuyajenge mrembo
 
Back
Top Bottom