Natia nia ya kuolewa

Natia nia ya kuolewa

[emoji3][emoji848] daah kwamba analeta za staki nataka
Wanawake wangapi,?? Komaa na hoyo huyo kichwa boga anaedai ana pesa harafu hapo hapo anadai katongozwa na mbunge msitaafu ameahidiwa kupewa nusu ya mafao, sasa sijui pamoja na kwamba ana pesa kazidiwa na mbunge
 
We ulitakiwa ujiite kichwa panzi sio kichwa boga.
 
KichwaBOGA wewe wa kunichinjia baharini kweli.embu rudisha moyowako nyumba nimejipanga kukuhudumia kichwaBOGA.
 
Habari ya kusikitisha ni kwamba unaweza kukuta hili ni dume linatusumbua hapa.
Anyway mwanamke wa kuagiza online ni mwanamke feki kama vitu feki vingine unavyovijua
 
[emoji855][emoji855] napata kikombe cha kahawa hapa... hivi kwel mwanaume siriaz anaejitambua anaweza fuata Bomu kama wewe akaweke ndani?
 
Ninyi endeleeni kurumbana hapa, mimi ngoja nielekee kwa pm, nikifaulu updates mtazipata kwenye uzi bora wa kimasihara.
Mtu mwenyewe kashasema hataki kuolewa tena kwa sasa, mabaharia mnafikiri sasa anachokihitaji ni nini?
 
Muda wowote naolewa nikipata mchumba mwenye ela..sipend vibamia wenye navyo mkae kando

----------------

UPDATE
____________

Majuzi kati mie kichwaBOGA Mtoto mrembo toka familia ya kitajiri nilitangaza nia ya kuolewa nishapokea maombi ka miatano ya wanaume, nimewavet nkagundua wote amna kitu wanataman msambwanda wangu na ela zangu tu.

Wote nimewapiga block kwanza sitaki mume tena hadi nitakapotoa utaratibu mwingine nimetongozwa adi na mbunge mstaafu akaaid kunipa nusu ya kiinua mgongo nimekataa mie najiamini.
Unasumbuliwa na stress.. Waone watalaam
 
kuna watu humu wanatendea haki majina yao😆😆😆
 
Maisha yanaenda kasi sanaaah, stress n mbaya mnooooh
 
Back
Top Bottom