Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Official language ni kiingereza.
Haswa kabisa. Nimesikia hii stori toka waganda wengi.Wala si ajabu ina sababu zake na hasa wakati wa utawala wa Nduli. Wale askari wake walikuwa wanajua kiswahili sasa zile henya henya za kama " fungua mlango", "toka", "k*** nyoko", "kuja hapa" ziliwafanya siyo tu kuuchukia utawala wa Nduli mpaka na kiswahili. Hiki kiswahili kilidharaulika na kuonekana lugha ya watu ambao hawajaenda shule na si ajabu ukakuta kiswahili kinatumika sana sehemu za masoko na zingine zinazofanana na hiyo. Kukabalika kwake itachukua muda na hasa kwa generation inayokua sasa hivi na ijayo lakini siyo ile iliyoshuhudia unyama wa Nduli.
KigandaMwenye kujua anisaidie, lugha ya taifa ya Uganda ni ipi?
Lugha rasmi ni English. Luganda inazungumzwa tu central lkn si rasmi.
Ofisi zote za serikali lugha ni english
Official language ni Kingereza.