Natishiwa maisha

Natishiwa maisha

Mziwanda aumtendei haki huyu binti, kaa chini tafakari kwa kina kabla ya kuamua kumuacha

hamna shaka mkuu ila sipendi kuambiwa maneno ya kupitiliza kama hayo
 
hamna shaka mkuu ila sipendi kuambiwa maneno ya kupitiliza kama hayo
Ni kweli hayo maneno ya kwake ya kujiua sio mazuri ila na wewe yachukulie kama wendawzimu wa kimapenzi tu na sio kutangaza mwisho wa mapenzi mkuu
 
Huyo anakudanganya tu lakini kama kweli anatoka Iringa basi huyo hatanii lakini kama anatoka sehemu nyingine anakudanganya tu,
 
Huyo anakudanganya tu lakini kama kweli anatoka Iringa basi huyo hatanii lakini kama anatoka sehemu nyingine anakudanganya tu,
mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uyu binti anamdanganya Mziwanda ila Mziwanda ndie inabidi akae afanye uchambuzi wa kina kuhusiana na hili suala
 
Merry-Christmas-with-tree.gif
 
mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uyu binti anamdanganya Mziwanda ila Mziwanda ndie inabidi akae afanye uchambuzi wa kina kuhusiana na hili suala

sure mkuu ila nashindwa kuconclude. In this, nature will select
 
Mziwanda we si mtu mzuri bana..Unaanzisha mahusiano na mtu, then unataka kumfrustrate baada ya kumchoka..Kwanini umuache?...Mbona ushamvuruga na kumfunuafunua, sasa unataka kumshiti upate mtu mpya..Ni tabia mbaya sana hiyo. I dont entertain it at all!...Who knows unataka umwache ili ukamvuruge mwingineo?..Ningekuwa na namba ya mdada huyo namwambia akomae mbaya kabisa, na asikusikie wala kukuelewa..huh!...

be honest with me and the rest. Are u fully comfortable in your relationship? Umeshawahi kufikiria kuuvunja?
 
Mkubwa hamna mtu anayelazimishwa mapenzi hata mimi silazimishwi mapenzi...Hiyo kitu huwa inatokea I mean unaweza kutokea na kusema kwamba wacha nitulie sitaki uhusiano sasa kuna mtu atakulazimisha??Maana naona comment nyingi zinasema kwamba umemchezea...Mkubwa kama huishi nae nyumba moja huyo dada wewe kata mawasiliano simu usipige wala usitume messeg wala usionane nae...Alafu tuone itakuwaje mapenzi hayalazimishwi jamani. Pia kusema kwamba anataka kujiuwa ni mkwara mbuzi tu huo ndio wengi wanaingiaga kwa hiyo gia wakiona hapa kuna maslahi..Kwa hiyo mkubwa akili kichwani mwako yaani!!
 
Kwa tamaduni za kiafrika, ni mara chache sana wanaume kusema ukweli juu ya aina ya mahusiano wanayotaka kutoka kwa wasichana (kama ni ya muda mfupi au yanaweza kuwa ya kudumu). Na kwa upande mwingine wasichana wengi huwa na mawazo ya kuwa na mahusiano ya kudumu, kwahiyo akiona kuna dalili za mawazo yake kuwa ni ndoto za mchana, ndio mambo kama haya yanaweza kujitokeza katika harakati za kufanikisha malengo. Kwa asilimia kubwa bado mahusiano yanashikiliwa na wanaume.
 
Huyo anakudanganya tu lakini kama kweli anatoka Iringa basi huyo hatanii lakini kama anatoka sehemu nyingine anakudanganya tu,
B

Fidel, huwezi jua kama mtoto watu kakolea kweli kwa Mziwanda na kunogesha katishia kama ilivyohadithiwa..
Inabidi jamaa ajiulize kwa nini huyo bibie kawa king'ang'anizi..awe mstaarabu kwenye kutatua hii ishu ilhali nae inaonekana kashachoka ndani ya 4 months..
 
Thx guys. Keep on enlightening me on what to do best
 
hawezi kutishia maisha kama sio wewe kuanzisha masuala ya kumwacha, sababu gani zinazopelekea ushindwe kuendelea na mahusiano?
 
hawezi kutishia maisha kama sio wewe kuanzisha masuala ya kumwacha, sababu gani zinazopelekea ushindwe kuendelea na mahusiano?

kuna sababu ambazo ni objective na zingine very subjective. Pia ndoa si hisia tu bali ni mfumo. Ukiyachunguza hayo kuna sababu za kufikiri vizuri aina ya mahusiano unayoyataka
 
Back
Top Bottom