Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #41
Mziwanda aumtendei haki huyu binti, kaa chini tafakari kwa kina kabla ya kuamua kumuacha
hamna shaka mkuu ila sipendi kuambiwa maneno ya kupitiliza kama hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mziwanda aumtendei haki huyu binti, kaa chini tafakari kwa kina kabla ya kuamua kumuacha
Ni kweli hayo maneno ya kwake ya kujiua sio mazuri ila na wewe yachukulie kama wendawzimu wa kimapenzi tu na sio kutangaza mwisho wa mapenzi mkuuhamna shaka mkuu ila sipendi kuambiwa maneno ya kupitiliza kama hayo
mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uyu binti anamdanganya Mziwanda ila Mziwanda ndie inabidi akae afanye uchambuzi wa kina kuhusiana na hili sualaHuyo anakudanganya tu lakini kama kweli anatoka Iringa basi huyo hatanii lakini kama anatoka sehemu nyingine anakudanganya tu,
mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uyu binti anamdanganya Mziwanda ila Mziwanda ndie inabidi akae afanye uchambuzi wa kina kuhusiana na hili suala
Mziwanda we si mtu mzuri bana..Unaanzisha mahusiano na mtu, then unataka kumfrustrate baada ya kumchoka..Kwanini umuache?...Mbona ushamvuruga na kumfunuafunua, sasa unataka kumshiti upate mtu mpya..Ni tabia mbaya sana hiyo. I dont entertain it at all!...Who knows unataka umwache ili ukamvuruge mwingineo?..Ningekuwa na namba ya mdada huyo namwambia akomae mbaya kabisa, na asikusikie wala kukuelewa..huh!...
BHuyo anakudanganya tu lakini kama kweli anatoka Iringa basi huyo hatanii lakini kama anatoka sehemu nyingine anakudanganya tu,
hawezi kutishia maisha kama sio wewe kuanzisha masuala ya kumwacha, sababu gani zinazopelekea ushindwe kuendelea na mahusiano?