Aliyekwenda kuomba msaada USA wa pesa na silaha ni Great Britain, mwishoni mwa 1940 Great Britain juhudi zake kupambana na Germany zilifikia sehemu mbaya, hawakuwa na pesa, akiba waliyokuwa wanategemea ilikuwa inakwenda kuisha.
Mwaka huo ndipo balozi wa Uingereza nchini USA akaenda kufanya press na waandishi akiwaambia Uingereza ipo kwenye hali mbaya kiuchumi na vita inakuwa ngumu hivyo wanahitaji pesa, baadae Winston mwenyewe waziri mkuu wa Uingereza alituma barua kwenda kwa Roosevelt rais wa US, akiomba msaada hapo ni 1940.
Nilishakuambia toka mwanzo Russia walipigana kimpango wao baada ya west kujikuta wanamtenga kwa sababu ni wajamaa, wakidhani atakuja kuwapigia magoti, lakini wao ndio walifahamu wanahitaji msaada wa Soviet, na hapo ndipo wakaanza kutoa hio misaada pasipo kuombwa.
Lend lease programme US waliiweka Soviet mwishoni mwa mwaka 1942, kuanzia 1941 Russia inapigana peke yake na Germany baada ya Germany kuanzisha Operation Barbarossa kuivamia Soviet.
USA anaingia vitani mwishoni mwa 1942 december, muda huo pia ndipo anatambua maneno ya Stalin kabla ya vita kuanza kwamba wanahitaji ushikiano kumkabili Germany.
US ilikuwa bado ina pesa, kuanzia 1939 USA haikujihusisha na vita.
Programme hio ilisaidia nchi nyingi tu ikiwemo China, Australia, New Zealand n.k je walishinda vitadhidi ya Germany?
USA anaanza kumtabua Soviet kama ally baadae sana.
Stalin alizungumza kutoa credits, kwa kauli y umoja kama allies.
Askari wengi wa Germany walifia mashariki ambapo ndipo Russia alikuwa akipambana unafamu hilo? Askari wengi wafungwa wa kivita walifia magerezani kwa USSR, nikikuletea takwimu hapa utashangaa.
Tazama hapo chini
Soviet ilikua ni mashine ya mauaji.
We endelea kukaa hapo kwenye kahawa mkidanganyana.