NATO kupambana na Russia endapo Ukraine itashindwa vita - Austin

Tulipotumia silaha za Kirusi kupigana na Iddi Amin haimaanishi USSR ndio ilipigana na Iddi Amini.
Wachana na kufananisha Jeshi la Tanzania na wale mashoga, hao kuna dalili chungu nzima zipo pale Gaza, Jeshi la US na UK na Ufaransa wanawasaidia jeshi la Israel.

Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa na hayo mataifa.
 
Kumbe Ukraine hawatalipia hizo silaha kama Pro-putin wengi ambavyo wamekuwa wakisema/kudanganya?!
Kumbe hiyo misaada ni mzigo na hasara tupu kwa Marekani!
Ww kama unadhani Marekani na washirika wake wanatafuta fedha za silaha kwenye vita ya Ukraine basi tambua baba yako ali haribu pesa yake kwa kukupeleka shule.

Nchi za Magharibi hazipo Ukraine kutafuta faida za kuuza silaha kwa sababu Ukraine haina uwezo wa kulipa hizo pesa hata apewe miaka 100.
Nchi za Magharibi zipo ndani ya Ukraine kutafuta faida za kimkakati hasa kuhakikisha wanaidhalilisha Urusi na kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi.
 
Pro-putin ndio husema silaha za Marekani kwa Ukraine sio msaada bali biashara itakayolipwa na rasilimali za Ukraine mbeleni!
 
Kama Russia walipewa technologies za silaha, na Elimu ile imewasaidia kuimalika maradufu basi Russia apewe maua yake Kwa kutumia vizuri alichopewa.

Mpaka sasa Ukraine kapewa mabilioni ya pesa, silaha za kila technology kutoka nchi 30 (akiwemo aliyempa Russia tech ya silaha). Vyote hivyo havijafua dafu mbele ya jeshi la mtu mmoja (Putin).

Kwa nini Marekani asimpe Ukraine latest tech ya kuweza kumuangamiza kabisa adui Russia?
Russia alipewa tech enzi hizo za Soviet union, kama lengo ni kuionyesha Russia si lolote mbele ya vita, wanashindwaje kumpa technology ya silaha za nuclear Kwa Sasa Ukraine? (Japokuwa nuclear zipo Ukraine).

Kama huwezi huwezi, unaweza kusaidiwa na bado ukatoka bila Bila. Mwingine akisaidiwa kidogo tu anakuja na maajabu makubwa zaidi ya kile alichosaidiwa.

By then, hata Marekani naye amesaidiwa sana kuimarishwa na watu kutoka mataifa ya nje.
Uliyosema mengi ni kweli ila nuclear weapons hakuna Ukraine. Ziliondolewa kwa mapatano kati ya Russia na hizo nchi za magharibi. Hiyo ilikuwa wakati wakijitenga na USSR.
 
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO).

Taarifa ya Austin katika kikao cha Kamati ya Huduma za Silaha ya Bunge la Marekani, kama ilivyoripotiwa na European Pravda.

Ingawa kesi hiyo ililenga zaidi kuhusu kulazwa hospitalini kwa Lloyd Austin mwanzoni mwa mwaka, ambapo hakuijulisha White House au Congress mapema, wabunge pia waliuliza maswali kadhaa juu ya kiasi gani cha msaada wa kijeshi wa Marekani Ukraine ilikuwa inahitaji.

Ukisoma vizuri habari hiyo Austin amesema kwamba endapo Ukraine itashindwa vita basi Russia itaendelea kuzivamia nchi za Baltic states ambazo zina uanachama wa nato. Rejea artical 5 ya nato.

Kwa ufupi Baltic states zinaiogopa Russia na hawana uhakika wa usalama wao japo ya kuwa ni wanachama wa nato.
 
Baltic States zinaiogopa Russia lakini Ukraine haiiogopi na ndio maana Russia bado amani hana hata ndani ya Russia kwenyewe.
 
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO).

Taarifa ya Austin katika kikao cha Kamati ya Huduma za Silaha ya Bunge la Marekani, kama ilivyoripotiwa na European Pravda.

Ingawa kesi hiyo ililenga zaidi kuhusu kulazwa hospitalini kwa Lloyd Austin mwanzoni mwa mwaka, ambapo hakuijulisha White House au Congress mapema, wabunge pia waliuliza maswali kadhaa juu ya kiasi gani cha msaada wa kijeshi wa Marekani Ukraine ilikuwa inahitaji.

Sasa Ukraine ashindwe vita mara ngapi NATO wanaiogopa Russia kama ukomq
 
Dikteta Putin alisema atakayeisaidia Ukraine atakiona cha mtema kuni hadi leo Nato inamsaidia Ukraine na hatujaona chochote. Russia ni nyuki wa mashineni.🤣🤣🤣
 
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO).

Taarifa ya Austin katika kikao cha Kamati ya Huduma za Silaha ya Bunge la Marekani, kama ilivyoripotiwa na European Pravda.

Ingawa kesi hiyo ililenga zaidi kuhusu kulazwa hospitalini kwa Lloyd Austin mwanzoni mwa mwaka, ambapo hakuijulisha White House au Congress mapema, wabunge pia waliuliza maswali kadhaa juu ya kiasi gani cha msaada wa kijeshi wa Marekani Ukraine ilikuwa inahitaji.

Anguko la Urusi limewadia hatimaye
 
Back
Top Bottom