NATO kupambana na Russia endapo Ukraine itashindwa vita - Austin

Tulipotumia silaha za Kirusi kupigana na Iddi Amin haimaanishi USSR ndio ilipigana na Iddi Amini.
Wachana na kufananisha Jeshi la Tanzania na wale mashoga, hao kuna dalili chungu nzima zipo pale Gaza, Jeshi la US na UK na Ufaransa wanawasaidia jeshi la Israel.

Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa na hayo mataifa.
 
Kumbe Ukraine hawatalipia hizo silaha kama Pro-putin wengi ambavyo wamekuwa wakisema/kudanganya?!
Kumbe hiyo misaada ni mzigo na hasara tupu kwa Marekani!
Ww kama unadhani Marekani na washirika wake wanatafuta fedha za silaha kwenye vita ya Ukraine basi tambua baba yako ali haribu pesa yake kwa kukupeleka shule.

Nchi za Magharibi hazipo Ukraine kutafuta faida za kuuza silaha kwa sababu Ukraine haina uwezo wa kulipa hizo pesa hata apewe miaka 100.
Nchi za Magharibi zipo ndani ya Ukraine kutafuta faida za kimkakati hasa kuhakikisha wanaidhalilisha Urusi na kuidhoofisha kijeshi na kiuchumi.
 
Pro-putin ndio husema silaha za Marekani kwa Ukraine sio msaada bali biashara itakayolipwa na rasilimali za Ukraine mbeleni!
 
Uliyosema mengi ni kweli ila nuclear weapons hakuna Ukraine. Ziliondolewa kwa mapatano kati ya Russia na hizo nchi za magharibi. Hiyo ilikuwa wakati wakijitenga na USSR.
 
Ukisoma vizuri habari hiyo Austin amesema kwamba endapo Ukraine itashindwa vita basi Russia itaendelea kuzivamia nchi za Baltic states ambazo zina uanachama wa nato. Rejea artical 5 ya nato.

Kwa ufupi Baltic states zinaiogopa Russia na hawana uhakika wa usalama wao japo ya kuwa ni wanachama wa nato.
 
Baltic States zinaiogopa Russia lakini Ukraine haiiogopi na ndio maana Russia bado amani hana hata ndani ya Russia kwenyewe.
 
Sasa Ukraine ashindwe vita mara ngapi NATO wanaiogopa Russia kama ukomq
 
Sasa Ukraine ashindwe vita mara ngapi NATO wanaiogopa Russia kama ukomq
Dikteta Putin alisema atakayeisaidia Ukraine atakiona cha mtema kuni hadi leo Nato inamsaidia Ukraine na hatujaona chochote. Russia ni nyuki wa mashineni.🤣🤣🤣
 
Anguko la Urusi limewadia hatimaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…