Natoa 50k (elfu hamsini)

Natoa 50k (elfu hamsini)

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
309
Habari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Joseph Kusaga
-Majizzo
-Diamond Platnumz

Haya twende kazi 50k inakusubiri
 
-Ruge
-Majizzo
-Diamond Platnumz

Haya twende kazi 50k inakusubiri
Ruge yupi sasa ?? Maana kama wa clouds huu uzi ni batili ina maana wewe ufatili chchte kuhusu hii Tanzania maana hyo ruge ni Marehemu kwa sasa.
 
Habari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Ruge
-Majizzo
-Diamond Platnumz

Haya twende kazi 50k inakusubiri
Ruger gani unaemzungumzia.
Platnuz naweza kukupa mawasiliano na namna rahis ya kumpata. Alafu hyo 50 ongeza ifike 100
 
Ruger gani unaemzungumzia.
Platnuz naweza kukupa mawasiliano na namna rahis ya kumpata. Alafu hyo 50 ongeza ifike 100
Mkuu nina 50k pekee... halafu kumbuka nimesema kukutanishwa naye... mawasiliano na mimi niliyapata tayari... lakini hawa jamaa hawa respond kirahisi kwa strangers
 
Habari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Joseph Kusaga
-Majizzo
-Diamond Platnumz

Haya twende kazi 50k inakusubiri
Kama wee ni Ke weka takorehan faster utakutanishwa
 
Nini Maana ya Kukutanishwa ?!!!!!

Sababu mimi kama ni mmoja wa hao nitaku-text unasemaje ukaanza kunipa proposal ambazo ni ndivyo sivyo nika-kuchinjia baharini bado hio 50K utanipa ?

Mfano hao Meneja, Afisa Masoko kuwapata ni Nauli yako tu...; ila kusikilizwa kukubaliwa proposal , baada ya vigezo vyote lazima pia (kibongo bongo) utoe takrima
 
50k?noooo weka 200k
Uhuni huu.

Mwombaji kaomba msaada kihuni,na mnaomsaidia mnafanya uhuni pia. Huwezi kugawa mawasiliano ya mtu kisa umepewa hela na mtu mwenye uhitaji,unajua shida yake nini? Vipi Kama ana Nia ya kumdhuru? Au naye akaamua kuianika namba/mawasiliano ya hao mnaogawa Kisha yakatokea ya kutokea? Alafu Kumbuka mkuu,watu aina hiyo anayowataka siyo watu wa kuoenda usumbufu. From nowhere huwezi ukataka tu namba ya kusaga Tena kwa kuweka dau. L

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Nimeenda sana ila naishiwa kuchezewa akili na watu wa reception...nenda rudi nenda rudiii
Nini Maana ya Kukutanishwa ?!!!!!

Sababu mimi kama ni mmoja wa hao nitaku-text unasemaje ukaanza kunipa proposal ambazo ni ndivyo sivyo nika-kuchinjia baharini bado hio 50K utanipa ?

Mfano hao Meneja, Afisa Masoko kuwapata ni Nauli yako tu...
Kukutanishwa namaanisha mtu ambaye anaweza kunipeleka direct nikakutana nao nikapresent nnacho present then nampa 50k yake
 
Kama Kuna mtu anaweza kukukutanusha na hao watu,50k kwake siyo kitu,Ni hela ya vocha tu.

Umetanguliza ujinga,mtu smart hafanyi hivyo ulivyofanya wewe katika kuomba connection na watu wanene.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata mimi nnajua 50k sio kitu lakini ndo nimeongea uwezo wangu ulipoishia... kwahiyo hiyo 50k sio malipo ni kama zawadi au shukurani
 
Back
Top Bottom