Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 309
Ruge yupi sasa ?? Maana kama wa clouds huu uzi ni batili ina maana wewe ufatili chchte kuhusu hii Tanzania maana hyo ruge ni Marehemu kwa sasa.Habari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Ruge
-Majizzo
-Diamond Platnumz
Haya twende kazi 50k inakusubiri
Dah samahani wakuu nilimaanisha Kusaga....nimesharekebisha.Na Ruge pia!!!
Ruger gani unaemzungumzia.Habari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Ruge
-Majizzo
-Diamond Platnumz
Haya twende kazi 50k inakusubiri
Mkuu nina 50k pekee... halafu kumbuka nimesema kukutanishwa naye... mawasiliano na mimi niliyapata tayari... lakini hawa jamaa hawa respond kirahisi kwa strangersRuger gani unaemzungumzia.
Platnuz naweza kukupa mawasiliano na namna rahis ya kumpata. Alafu hyo 50 ongeza ifike 100
Dah 200k mkuu ntakudanganya...labda tufanye hiyo 150k utanidai🙌🏼50k?noooo weka 200k
Samahani mkuu nilitaka kumaanisha Kusaga.... tatizo Ruge amenikaa sana coz alikuwa anasapoti sana issue za ujasiriamaliKwan ww ni mfu...??
Ko ilitakiwa nifanyeje mkuu😔😔 tafadhali nishauriKama Kuna mtu anaweza kukukutanusha na hao watu,50k kwake siyo kitu,Ni hela ya vocha tu.
Umetanguliza ujinga,mtu smart hafanyi hivyo ulivyofanya wewe katika kuomba connection na watu wanene.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kama wee ni Ke weka takorehan faster utakutanishwaHabari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Joseph Kusaga
-Majizzo
-Diamond Platnumz
Haya twende kazi 50k inakusubiri
"Ni heri kufa kuliko kuwa mbwa"Kama wee ni Ke weka takorehan faster utakutanishwa
Uhuni huu.50k?noooo weka 200k
Kukutanishwa namaanisha mtu ambaye anaweza kunipeleka direct nikakutana nao nikapresent nnacho present then nampa 50k yakeNini Maana ya Kukutanishwa ?!!!!!
Sababu mimi kama ni mmoja wa hao nitaku-text unasemaje ukaanza kunipa proposal ambazo ni ndivyo sivyo nika-kuchinjia baharini bado hio 50K utanipa ?
Mfano hao Meneja, Afisa Masoko kuwapata ni Nauli yako tu...
Mkuu hata mimi nnajua 50k sio kitu lakini ndo nimeongea uwezo wangu ulipoishia... kwahiyo hiyo 50k sio malipo ni kama zawadi au shukuraniKama Kuna mtu anaweza kukukutanusha na hao watu,50k kwake siyo kitu,Ni hela ya vocha tu.
Umetanguliza ujinga,mtu smart hafanyi hivyo ulivyofanya wewe katika kuomba connection na watu wanene.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app