Hauko siriaz bora uombe msaada kuliko huyo 50k yakoNimeenda sana ila naishiwa kuchezewa akili na watu wa reception...nenda rudi nenda rudiii
Kukutanishwa namaanisha mtu ambaye anaweza kunipeleka direct nikakutana nao nikapresent nnacho present then nampa 50k yake
Kuhusu Diamond nahisi Wala usipate tabu wewe mtafute Zembwela tu atakushika mkono mkono hadi sebureni kwa MondHabari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Joseph Kusaga
-Majizzo
-Diamond Platnumz
Haya twende kazi 50k inakusubiri
Yaani hao mameneja masoko hawapatikani ? sasa wanafanyaje Masoko; Kama Proposal yako imesimama kwanini usiwape hao mareception 20k au anzia kwa Meneja Masoko wa Kanda au hata sehemu ulipo....Nimeenda sana ila naishiwa kuchezewa akili na watu wa reception...nenda rudi nenda rudiii
Kama nilivyosema issue sio kukutana nao issue ni kukubaliana na ulicho nacho na hata ukiwapa sio mafanikio unaweza kuishia kutapeliwa Idea yako..., ushauri kama unaweza kuliko kupeleka maneno matupu kama unaweza kufanya unachofanya kwa uraisi / udogo ili upate prototype ndio uwafuate au watakufuata..., unless otherwise ni kujitafutia kukatishwa moyo (inaweza ikawa brilliant Idea ila hawa jamaa wakasema ni Upuuzi hence kukukatisha tamaa)...Kukutanishwa namaanisha mtu ambaye anaweza kunipeleka direct nikakutana nao nikapresent nnacho present then nampa 50k yake
Umeongea vizuri mkuu...lakinin hata mimi sijaomba namba wala chochote, natafuta mtu ambaye anaweza kunikutanisha nao f2f...kama ni issue ya usalama naamini kabla ya kuingia ndani ya ofisi za hao watu kuna walinzi right?Uhuni huu.
Mwombaji kaomba msaada kihuni,na mnaomsaidia mnafanya uhuni pia. Huwezi kugawa mawasiliano ya mtu kisa umepewa hela na mtu mwenye uhitaji,unajua shida yake nini? Vipi Kama ana Nia ya kumdhuru? Au naye akaamua kuianika namba/mawasiliano ya hao mnaogawa Kisha yakatokea ya kutokea? Alafu Kumbuka mkuu,watu Sina hiyo anayowataka siyo watu wa kuoenda usumbufu. From nowhere huwezi ukataka tu namba ya kusaga Tena kwa kuweka dau. L
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Weka maelezo vizuri mkuu,tukukutanishe nao au tukupe namba za simu mkutane wenyewe kwa muda wenu.Habari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Joseph Kusaga
-Majizzo
-Diamond Platnumz
Haya twende kazi 50k inakusubiri
Subiri kutapeliwa huko pm basi.Mkuu hata mimi nnajua 50k sio kitu lakini ndo nimeongea uwezo wangu ulipoishia... kwahiyo hiyo 50k sio malipo ni kama zawadi au shukurani
Ni kweli kabisa mkuu,umenena vyema... huwezi amini nimeshajaribu njia nyingi ambazo unaweza sema kwa lugha yako "za ukomavu wa akili" lakini they didn't work out....this is me grabbing whatever strategy that comes my wayπMkuu ungekuwa serious katika kuomba kwako msaada Kuna wadau wangekusaidia bila hata kuhitaji Senti.
Mfano Mimi Nina rafiki yangu ana connection na baadhi ya member wa WCB,ungeelezea Kama mtu aliyekomaa akili na ana shida kweli ilikuwa simple kwa mtu Kama yeye akukutanishe nae huyo unayemuhitaji,ila umeingiza utoto.
Jf ni jukwaa kubwa na kuna watu wakubwa pia humu,wakati mwingine hata mwandiko unaweza kutukutanisha au kutukimbiza mbali na bahati/connections.
You are soy man.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana mkuu kwa wazo lako...nakuahidi ntalifanyia kaziKuhusu Diamond nahisi Wala usipate tabu wewe mtafute Zembwela tu atakushika mkono mkono hadi sebureni kwa Mond
Mkuu nina prototype tayari pia...ila asante sana kwa hilo wazo la kuanzia kwa meneja wa kanda au sehemu nilipo... nakuahidi na kazi pia.Yaani hao mameneja masoko hawapatikani ? sasa wanafanyaje Masoko; Kama Proposal yako imesimama kwanini usiwape hao mareception 20k au anzia kwa Meneja Masoko wa Kanda au hata sehemu ulipo....
Kama nilivyosema issue sio kukutana nao issue ni kukubaliana na ulicho nacho na hata ukiwapa sio mafanikio unaweza kuishia kutapeliwa Idea yako..., ushauri kama unaweza kuliko kupeleka maneno matupu kama unaweza kufanya unachofanya kwa uraisi / udogo ili upate prototype ndio uwafuate au watakufuata..., unless otherwise ni kujitafutia kukatishwa moyo (inaweza ikawa brilliant Idea ila hawa jamaa wakasema ni Upuuzi hence kukukatisha tamaa)...
Tayari nimeshakuwini kisaikolojia Ndo hicho haswa nilikuwa nang'ang'ania na kusumbuka kutafuta"Ni heri kufa kuliko kuwa mbwa"
Kumbuka hili maisha yako yote
Nakuahidi mkuu kama ningekuwa na uwezo zaidi ya hapo ningefanya...niliomba kujaribu kusaidiwa watu wanasema mkono mtupu haulambwi... please usiseme watu wasinisaidie...life crazy hard out hereSubiri kutapeliwa huko pm basi.
Unaonekana Ni mtoto au mama boy!!
50k ili mtu akupe mawasiliano ya Kusaga,au majizzo,au meneja wa Nini sijui,like serious?Unastahili kutosaidiwa ili ujifunze adabu na hekima kwanza.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Yaani Meneja Masoko wa Kampuni za Vinywaji kumkutanisha kwa hio 50K ni ndogo !!!!, Pesa yetu ya madafu haina thamani ila sio kihivyo.....Weka maelezo vizuri mkuu,tukukutanishe nao au tukupe namba za simu mkutane wenyewe kwa muda wenu.
Maana ukisema tukukutanishe nao tutatumia gharama kubwa zaidi ya hiyo elfu 50.
Come on Nakadori....5M really???Milioni 5 au elfu 50??
50k haitoshi mkuu fanya angalau 5M tufanye kazi yako haraka tuHabari wakuu
Kama title ya uzi inavyosema ninatoa 50k Tsh kwa yeyote anayeweza kunikutanisha na moja kati ya watu wafuatao.
-Meneja/Afisa masoko wa Pepsi/Coca-Cola
-Meneja/Afisa masoko wa Kilimanjaro/Castle light/Serengeti light
-Joseph Kusaga
-Majizzo
-Diamond Platnumz
Haya twende kazi 50k inakusubiri
Kuna siku nilipita mitaa anakoishi Diamond,nikakuta vijana kadhaa pale nje ya geti. Nikamuuliza mtu niliyekuwa naye "hawa wanafanya nini pale getini?" Akanijibu wale 'madogo' wanamsubiri big(Diamond) anapotoka ndani kwenda kwenye mitikasi yake waongee nae,kila mmoja na shida yake,ila most of them,Kama siyo wote wanataka kuonyesha kipaji Cha kuimba mbele yake ili wapate collaboration au wasainiwe WCB.Ni kweli kabisa mkuu,umenena vyema... huwezi amini nimeshajaribu njia nyingi ambazo unaweza sema kwa lugha yako "za ukomavu wa akili" lakini they didn't work out....this is me grabbing whatever strategy that comes my way[emoji17]
Huenda Ruge JuniorRuge yupi sasa ?? Maana kama wa clouds huu uzi ni batili ina maana wewe ufatili chchte kuhusu hii Tanzania maana hyo ruge ni Marehemu kwa sasa.