Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

ILULA HILLS

Member
Joined
Mar 19, 2022
Posts
31
Reaction score
65
Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani.

Mipango ilikuwa mingi na ndoto zilikuwa kubwa, nlitegemea ningeishi kwa lab baada ya kumaliza chuo, yani lab ingekuwa biashara kwangu, bahati mbaya yajayo yalifurahisha na hivi vitu kwa sasa vinajaza nafasi nyumbani sababu akili ishazeeka.

Kipindi hicho plan ilikuwa ku innovate multi energy meter ambayo ingewezesha mita moja ya LUKU ya Tanesco iwe ina uwezo wa kuhudumia connection/mteja zaidi ya mmoja, wazo ambalo nililipata 2008 nikiwa mwaka wa 2 chuo. Sikuweza kuendelea nalo baada ya kupata kazi iliyochukua muda wangu wote, the rest is history Kifupi, ndani ya hii kit kuna vitu vyote muhimu kwa mwanafunzi kujifunza na ku-plactice programming ya electronics.

Naenda vitoa hivi vitu kama donation kwa kijana/vijana watakaonihakikishia watavitumia na sio kuvitunza au kuviuza.

Hii ni offer kwa vijana mlio chuo tu na sio graduates.
20220419_173129.jpg


20220419_173129.jpg
 
Mi niache niwe nazunguka na wewe naweza jifunza a thing or two juu ya maisha
 
Back
Top Bottom