ILULA HILLS
Member
- Mar 19, 2022
- 31
- 65
- Thread starter
- #21
Vijana wenyewe hawataki huu mubaraka. Sijui hata wapo wapi.Kila la heri mkuu. Na akafanikiwe yule atakaebahatika kupata hivi vifaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wenyewe hawataki huu mubaraka. Sijui hata wapo wapi.Kila la heri mkuu. Na akafanikiwe yule atakaebahatika kupata hivi vifaa.
Watakuja tu mkuu. Kuwa na subira.Vijana wenyewe hawataki huu mubaraka. Sijui hata wapo wapi.
Amina Amina.Ubaikiwe mkuu!
Mkuu una moyo mzuri sana ila miaka 12 vifaa vitatoa matokeo yasio sahihi yani error zitakuwa kubwa . Life span ya hivyo vitu ipoje ? Wazungu wanatabia ya kutoa msaada ma vitu yaliopitwa na wkati huko kwao na kujifanya watu sana wema kwetu sasa naona hio tabia tumeanza kuiiga.Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani.
Mipango ilikuwa mingi na ndoto zilikuwa kubwa, nlitegemea ningeishi kwa lab baada ya kumaliza chuo, yani lab ingekuwa biashara kwangu, bahati mbaya yajayo yalifurahisha na hivi vitu kwa sasa vinajaza nafasi nyumbani sababu akili ishazeeka.
Kipindi hicho plan ilikuwa ku innovate multi energy meter ambayo ingewezesha mita moja ya LUKU ya Tanesco iwe ina uwezo wa kuhudumia connection/mteja zaidi ya mmoja, wazo ambalo nililipata 2008 nikiwa mwaka wa 2 chuo. Sikuweza kuendelea nalo baada ya kupata kazi iliyochukua muda wangu wote, the rest is history Kifupi, ndani ya hii kit kuna vitu vyote muhimu kwa mwanafunzi kujifunza na ku-plactice programming ya electronics.
Naenda vitoa hivi vitu kama donation kwa kijana/vijana watakaonihakikishia watavitumia na sio kuvitunza au kuviuza.
Hii ni offer kwa vijana mlio chuo tu na sio graduates.
View attachment 2193125
View attachment 2193123
Hii ni learning kit, vitu almost vyote nimevitumia mara ya mwisho 2019, baada ya hapo sijavigusa.Mkuu una moyo mzuri sana ila miaka 12 vifaa vitatoa matokeo yasio sahihi yani error zitakuwa kubwa . Life span ya hivyo vitu ipoje ? Wazungu wanatabia ya kutoa msaada ma vitu yaliopitwa na wkati huko kwao na kujifanya watu sana wema kwetu sasa naona hio tabia tumeanza kuiiga.
Yani sikutegemea jf jukwaa la tech liwe hivi, hawa vijana sijui wamejibana instagram na facebook au wapi?Zipeleka veta ama chuo watafaidika wengi zaidi
Calculator zinazinguaga sana zikikaa muda mrefu. Kwa kujifinzia sio mbaya ila mi ningependa sana watoto wetu wapate vifaa vya kisasa.Hii ni learning kit, vitu almost vyote nimevitumia mara ya mwisho 2019, baada ya hapo sijavigusa.
Kuna uwezekano kwa sasa zipo microchip bora zaidi ila hata hizo 18f series zina uwezo mkubwa sana.
Ushawahi ona calculator nzee ikadanganya?
Basi ndio hivi vifaa, vitafanya kazi jinsi ulivyoviprogram na sio tofauti. Maana vyote vinafanya kazi kwa programming ndio maana kuna microchip programmer adapter.
Wakijikusanya wanaweza agiza vifaa vya kisasa.Calculator zinazinguaga sana zikikaa muda mrefu. Kwa kujifinzia sio mbaya ila mi ningependa sana watoto wetu wapate vifaa vya kisasa.
Mkuu unaweza nisaidia namna ya kupata multipurpose eeprom programmer?Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani.
Mipango ilikuwa mingi na ndoto zilikuwa kubwa, nlitegemea ningeishi kwa lab baada ya kumaliza chuo, yani lab ingekuwa biashara kwangu, bahati mbaya yajayo yalifurahisha na hivi vitu kwa sasa vinajaza nafasi nyumbani sababu akili ishazeeka.
Kipindi hicho plan ilikuwa ku innovate multi energy meter ambayo ingewezesha mita moja ya LUKU ya Tanesco iwe ina uwezo wa kuhudumia connection/mteja zaidi ya mmoja, wazo ambalo nililipata 2008 nikiwa mwaka wa 2 chuo. Sikuweza kuendelea nalo baada ya kupata kazi iliyochukua muda wangu wote, the rest is history Kifupi, ndani ya hii kit kuna vitu vyote muhimu kwa mwanafunzi kujifunza na ku-plactice programming ya electronics.
Naenda vitoa hivi vitu kama donation kwa kijana/vijana watakaonihakikishia watavitumia na sio kuvitunza au kuviuza.
Hii ni offer kwa vijana mlio chuo tu na sio graduates.
View attachment 2193125
View attachment 2193123
Muda mwingine bora kukaa kimya kama hauna cha kuchangiaMkuu kweli hausaki mbususu kwa gia ya kudonate
Ningeweza kukuagizia ila sasa sijishughulishi na biashara ya kuagiza vitu. Ingia ebay, kama ukipata unachohitaji naweza kukupa njia ya kuweza kukufikia.Mkuu unaweza nisaidia namna ya kupata multipurpose eeprom programmer?
Nmetumia baadhi kama EZP2010 ila chenga tupu
Au hata kama kuna brand cheap kdg unaweza nipa jina niitafute
Kuagiza sio shida mkuu, nataka unipe jina la programmer unayotumia kuprogram eeprom ambayo ni universal au inasupport chips nyingi coz hio kitu imeniangaisha sana, nishawai kununua aina zaidi ya tatu lakini zote hamna kitu. Ukinisaidia brand mie ntaingia mtandaoni kuagizaNingeweza kukuagizia ila sasa sijishughulishi na biashara ya kuagiza vitu. Ingia ebay, kama ukipata unachohitaji naweza kukupa njia ya kuweza kukufikia.
Poa, ntakujuza.Kuagiza sio shida mkuu, nataka unipe jina la programmer unayotumia kuprogram eeprom ambayo ni universal au inasupport chips nyingi coz hio kitu imeniangaisha sana, nishawai kununua aina zaidi ya tatu lakini zote hamna kitu. Ukinisaidia brand mie ntaingia mtandaoni kuagiza