Natoa Donation ya Electronics Programming Kit, PIC controllers, lot of sensors, Display Units, yani complete kit ya kufanya uwe na lab chumbani kwak

Mkuu una moyo mzuri sana ila miaka 12 vifaa vitatoa matokeo yasio sahihi yani error zitakuwa kubwa . Life span ya hivyo vitu ipoje ? Wazungu wanatabia ya kutoa msaada ma vitu yaliopitwa na wkati huko kwao na kujifanya watu sana wema kwetu sasa naona hio tabia tumeanza kuiiga.
 
Hii ni learning kit, vitu almost vyote nimevitumia mara ya mwisho 2019, baada ya hapo sijavigusa.

Kuna uwezekano kwa sasa zipo microchip bora zaidi ila hata hizo 18f series zina uwezo mkubwa sana.

Ushawahi ona calculator nzee ikadanganya?
Basi ndio hivi vifaa, vitafanya kazi jinsi ulivyoviprogram na sio tofauti. Maana vyote vinafanya kazi kwa programming ndio maana kuna microchip programmer adapter.
 
Zipeleka veta ama chuo watafaidika wengi zaidi
 
Calculator zinazinguaga sana zikikaa muda mrefu. Kwa kujifinzia sio mbaya ila mi ningependa sana watoto wetu wapate vifaa vya kisasa.
 
Mkuu unaweza nisaidia namna ya kupata multipurpose eeprom programmer?

Nmetumia baadhi kama EZP2010 ila chenga tupu

Au hata kama kuna brand cheap kdg unaweza nipa jina niitafute
 
Mkuu unaweza nisaidia namna ya kupata multipurpose eeprom programmer?

Nmetumia baadhi kama EZP2010 ila chenga tupu

Au hata kama kuna brand cheap kdg unaweza nipa jina niitafute
Ningeweza kukuagizia ila sasa sijishughulishi na biashara ya kuagiza vitu. Ingia ebay, kama ukipata unachohitaji naweza kukupa njia ya kuweza kukufikia.
 
Ningeweza kukuagizia ila sasa sijishughulishi na biashara ya kuagiza vitu. Ingia ebay, kama ukipata unachohitaji naweza kukupa njia ya kuweza kukufikia.
Kuagiza sio shida mkuu, nataka unipe jina la programmer unayotumia kuprogram eeprom ambayo ni universal au inasupport chips nyingi coz hio kitu imeniangaisha sana, nishawai kununua aina zaidi ya tatu lakini zote hamna kitu. Ukinisaidia brand mie ntaingia mtandaoni kuagiza
 
Poa, ntakujuza.
 
Mkuu unoge ngusa ila nataka nikuletee cpu za slot machine kuna mishe nataka tujalibu kama itakupendeza...ingawa ilula najua ipo iringa kukaye if am wrong notify me ...
 
Mkuu.. naomba hizo motion sensor aisee.. na Diodes kama zipo.., niko tayari kukueleza project yangu na imefikia hatua gani, please please
 
mkuu umenikumbusha mbali Sana hizi chip nmezichungilia ndo naziona nmeziifazi muda sana
 
Watoto wa chuo wako kwenye uzi wa kula kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…