Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Tanzania tuna vyombo vya ulinzi na usalama takribani 6 na tuna idara saidizi za ulinzi na usalama kadhaa.
Kila chombo kiko huru kujisimamia ingawa vyombo hivi hutegemeana.
Wakati mwingine chombo kimoja kinaweza kufanya majukumu ya chombo kingine lakini kwa kushirikiana na chombo husika.
Yaani polisi hawezi kwenda kufanya kazi ya zmamamoto na uokoaji kwa kujiamulia tu.
Au afisa wa uhamihaji hawezi tu kujiamulia kufanya kazi za afisa wa JWTZ.
Ikitokea afisa au askari wa chombo kimoja anakwenda kufanya majukumu ya mpito kwenye chombo kingine kule atakuwa chini ya usimamizi wa afisa wa chombo husika.
Wanaharakati uchwara, wanaokula pesa za bure za wazungu wanapotosha umma kila siku kwakuwa wanajua Watanzania wana uelewa mdogo.
Hii picha inaonyesha afisa/askari wa jeshi la wananchi akipewa maelekezo na afisa/askari wa jeshi la polisi kwakuwa police ni mwenyeji na huyo mjeshi ni mgeni.